mkubwa simba
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 284
- 206
ShikomoooHakuna mahusiano bali vinapingana uchawi ni nguvu nje ya ufahamu kwa muktadha huu jicho la tatu kwa kizungu tungesema ni intruder/mvamizi, wakati bangi ni mmea wenye kufungua ufahamu wa ndani kwa muktadha wa post hii
Mara zote katika ulimwengu wa kiroho mwenyeji huwa anapokea mgeni anayeendana naye na si yule wanayepingana
Tunapozungumzia jicho la tatu ni lile jicho linaloona tofauti na yale mawili yanayo angalia...! Uchawi ni imitation ya jicho la tatu
ShikamooHakuna mahusiano bali vinapingana uchawi ni nguvu nje ya ufahamu kwa muktadha huu jicho la tatu kwa kizungu tungesema ni intruder/mvamizi, wakati bangi ni mmea wenye kufungua ufahamu wa ndani kwa muktadha wa post hii
Mara zote katika ulimwengu wa kiroho mwenyeji huwa anapokea mgeni anayeendana naye na si yule wanayepingana
Tunapozungumzia jicho la tatu ni lile jicho linaloona tofauti na yale mawili yanayo angalia...! Uchawi ni imitation ya jicho la tatu
MhhTo some extent yeah...! Hata sasa nayaona mambo mengi tofauti na wengine waonavyo kuna wakati huwa najistukia na kukaa kimya nikiogopa kuonekana tofauti
[emoji12] [emoji12] [emoji12] et anasikia kengele kichwan hahahhaKwahiyo maumivu ya kichwa mpaka mwingine anasema anasikia kengele kichwan inamaana jicho la tatu ndo linaloteseka. maada nzuri sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Meditation ni kama bhangi Inategemea unaitumiaje
Nataka niyasome hzo descriptions ila sizioni vzur .......how can I get it clearly?Jibu hili hapaView attachment 390872
Kwakuwa wewe unelewa vzur kiingereza tunaomba ulete hapa hapa ili tubaini uongo wake au mnasemaje jamani ??Paji la uso halina kabisa uhusiano na jicho la tatu. Mleta mada huwa anaona hizo mada kwenye mtandao, na inaonesha lugha ya Kingereza inampiga chenga, basi yeye huleta hizi mada kwa kubabia-babia, bora liende, na ameshaona kuwa wengi wa wanaomfatilia ni wale wale "wajinga ndiyo waliwao.
Nnakushauri soma kuhusu third eye, soma kuhusu sixth sense, soma kuhusu ESP (extra sensory perception). Utaelewa kwa undani jicho la tatu ni nini. Si huo upuuzi wa paji la uso alioleta huyo anaejiita Mshana Jr.
Tumia Google. Yote yapo hayo.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ngoja nichukue kiti nisubirFaizaFoxy mimi huwa nakueshimu sana hebu kwa hilii naomba tuambie kuhusu maelezo hy ya paji la uso najua utakuwa nakituu cha kutuambia..
nimewaza sana sana,nimekumbuka vingi kupitia hili paji la uso linavyotumika mara nyingi lakini kwa matukio flani muhimu na umakini bila wenyewe kujua,asante kwa elimu mkuu mshana jr.
Natamani kufanya meditation ila nashindwa jinsi ya kuanza
poleWacha bana matukio gani muhimu yanahusisha paji la uso mkuu umeniacha Chalinze hapo
pole