Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Nataka kujua tu connection ya hayo mauzauza na hilo jicho la tatu. Pia faida na hasara zake.
Tunapolala kinachopumzishwa ni mwili huu wa nyama lakini akili inakuwa kwenye michakato yake na ni kwa kupitia jicho la tatu refer picha na michoro ndio mawasiliano ya ulimwengu wa roho hufanyika
Hili anga ama huu utupu una roho nyingi zinapita sasa unapolala chali ni kama unaleta muingiliano
 
Faida zake ni zipi?
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni kuwa tu tunamezeshwa na wanachochagua wachache, na kutubananisha kwenye teknolojia za Tv na smart phones, huku uwezo wa kudadavua na kutafuta ujuzi binafsi ukizidi kupungua.
Kweli kabisa, tunshindia kusoma umbea instagram na kuangalia bongo movie
 
vina mahusiano ya moja kwa moja kwakuwa matokeo ni yale yale lakini kundalini ikiwa nguvu yake ni ile inayotoka chini ya kitovu cha uti wa mgongo
Inasemekana kwamba kundalini ni nguvu iliyolala(dormant state)ambayo huamshwa kupitia yoga
Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
 
Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
You are almost there [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jicho la tatu ni jicho la utambuzi
Kuona wachawi ni mambo ya kiganga na ukipata dawa ya kuwaona wachawi hutawaona wao tuu bali kila kitu kwenye ulimwengu wa giza hivyo unaweza kujikuta unawehuka ama kuweweseka kila wakati
Hahahah........

Umenikumbusha msemo mmoja "sometimes ignorance is a blessing"
 
Hebu ota chochote kinachonihusu alafu uni inbox ili nijiridhishe na hii mambo kama kweli "lisemwalo lipo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…