Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Nataka kujua tu connection ya hayo mauzauza na hilo jicho la tatu. Pia faida na hasara zake.
Tunapolala kinachopumzishwa ni mwili huu wa nyama lakini akili inakuwa kwenye michakato yake na ni kwa kupitia jicho la tatu refer picha na michoro ndio mawasiliano ya ulimwengu wa roho hufanyika
Hili anga ama huu utupu una roho nyingi zinapita sasa unapolala chali ni kama unaleta muingiliano
 
Faida zake ni zipi?
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Ni kuwa tu tunamezeshwa na wanachochagua wachache, na kutubananisha kwenye teknolojia za Tv na smart phones, huku uwezo wa kudadavua na kutafuta ujuzi binafsi ukizidi kupungua.
Kweli kabisa, tunshindia kusoma umbea instagram na kuangalia bongo movie
 
194a7b666e2f7510f8f9f29630c00b27.jpg
8358835c7a13209124a8c99a871c93cf.gif
vina mahusiano ya moja kwa moja kwakuwa matokeo ni yale yale lakini kundalini ikiwa nguvu yake ni ile inayotoka chini ya kitovu cha uti wa mgongo
Inasemekana kwamba kundalini ni nguvu iliyolala(dormant state)ambayo huamshwa kupitia yoga
Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
 
Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
You are almost there [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jicho la tatu ni jicho la utambuzi
Kuona wachawi ni mambo ya kiganga na ukipata dawa ya kuwaona wachawi hutawaona wao tuu bali kila kitu kwenye ulimwengu wa giza hivyo unaweza kujikuta unawehuka ama kuweweseka kila wakati
Hahahah........

Umenikumbusha msemo mmoja "sometimes ignorance is a blessing"
 
jicho la tatu linafanya kazi jamani ila ndio hivyo ni kwa wachache sana.ukweli siwafichi it is something real kabisa ambacho even at this point naongea hapa nimetoka kumsimulia mtu maisha yake ya mahusiono yakimapenzi tangu alivyoanza kujihusisha nayo mpaka sasa na simfahamu wala nn yeye wa mwanza mim wa dsm tulikutana tu chuo,nikaonyeshwa usiku yani full tamthilia ndugu zangu.
Hebu ota chochote kinachonihusu alafu uni inbox ili nijiridhishe na hii mambo kama kweli "lisemwalo lipo"
 
Back
Top Bottom