Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
Nataka kujua tu connection ya hayo mauzauza na hilo jicho la tatu. Pia faida na hasara zake.Nafikiri tayari nimefafanua kwenye mada na jinsi ya kuepukana nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujua tu connection ya hayo mauzauza na hilo jicho la tatu. Pia faida na hasara zake.Nafikiri tayari nimefafanua kwenye mada na jinsi ya kuepukana nalo
Tunapolala kinachopumzishwa ni mwili huu wa nyama lakini akili inakuwa kwenye michakato yake na ni kwa kupitia jicho la tatu refer picha na michoro ndio mawasiliano ya ulimwengu wa roho hufanyikaNataka kujua tu connection ya hayo mauzauza na hilo jicho la tatu. Pia faida na hasara zake.
Faida zake ni zipi?Tunapolala kinachopumzishwa ni mwili huu wa nyama lakini akili inakuwa kwenye michakato yake na ni kwa kupitia jicho la tatu refer picha na michoro ndio mawasiliano ya ulimwengu wa roho hufanyika
Hili anga ama huu utupu una roho nyingi zinapita sasa unapolala chali ni kama unaleta muingiliano
Kweli kabisa, tunshindia kusoma umbea instagram na kuangalia bongo movieUko sahihi kabisa mkuu. Ni kuwa tu tunamezeshwa na wanachochagua wachache, na kutubananisha kwenye teknolojia za Tv na smart phones, huku uwezo wa kudadavua na kutafuta ujuzi binafsi ukizidi kupungua.
Unajua sana kuweka akiba ya maneno wewe!Tukiweka siasa pembeni Hitler alikuwa katili
Mshana??!!
vina mahusiano ya moja kwa moja kwakuwa matokeo ni yale yale lakini kundalini ikiwa nguvu yake ni ile inayotoka chini ya kitovu cha uti wa mgongo![]()
Inasemekana kwamba kundalini ni nguvu iliyolala(dormant state)ambayo huamshwa kupitia yoga
You are almost there [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mshana??!!
Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!
Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
Me ninayo hardcopy kiongozisamahani wakuu nsomba msaada mwenye kitabu cha the third eye in PDF anisaidie sam4peny@gmail.com
Hahahah........Jicho la tatu ni jicho la utambuzi
Kuona wachawi ni mambo ya kiganga na ukipata dawa ya kuwaona wachawi hutawaona wao tuu bali kila kitu kwenye ulimwengu wa giza hivyo unaweza kujikuta unawehuka ama kuweweseka kila wakati
Hahahah.. ...You are almost there [emoji1] [emoji1] [emoji1]
mkuu nisaidieMe ninayo hardcopy kiongozi
Hebu ota chochote kinachonihusu alafu uni inbox ili nijiridhishe na hii mambo kama kweli "lisemwalo lipo"jicho la tatu linafanya kazi jamani ila ndio hivyo ni kwa wachache sana.ukweli siwafichi it is something real kabisa ambacho even at this point naongea hapa nimetoka kumsimulia mtu maisha yake ya mahusiono yakimapenzi tangu alivyoanza kujihusisha nayo mpaka sasa na simfahamu wala nn yeye wa mwanza mim wa dsm tulikutana tu chuo,nikaonyeshwa usiku yani full tamthilia ndugu zangu.