Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sawa mkuu.Mmh mpaka niongee naye ana kwa ana nimhoji mambo kandaa... Hapa ni ngumu nitaishia tu kubunibuni kitu ambacho sio kizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Mmh mpaka niongee naye ana kwa ana nimhoji mambo kandaa... Hapa ni ngumu nitaishia tu kubunibuni kitu ambacho sio kizuri
Lazima mwili ulale alafu akili ikili iko aware sio rahisNiki anza tu kufanya meditation napitiwa na usingizi ata kabla sija anza kabsa
Aisee dah![]()
Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.
Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.
1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus![]()
Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.
2. Mathematics![]()
Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.
3. Tahjud (Meditation)
![]()
Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.
4. Baptism & Sijda![]()
![]()
Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..
Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.
5. A kiss on the Forehead
![]()
Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.
6. FREEMASONRY
![]()
Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu
7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)![]()
Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.
8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.
Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.
Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.
Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.
Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.
Kwa Nini? Kuna sababu yoyote ya msingi?Hata maiti halazwi kifudifudi
Aaaa Noo!![emoji848][emoji848][emoji848]hivi una ID nyingine?
Jr[emoji769]
wakati natafakari juu ya jicho hili la tatu mwingine tena aka nieleza kwamba
The third eye is rooted in the pineal gland. While the pineal gland might be the focal point for the sixth sense, the third eye is actually much more than just training yourself to connect to the pineal gland.
The Third Eye is a natural part of every person. One way to think of it is as a “meta” organ that consists of your mind and all of your senses working together as a larger, more powerful sensory organ that the pineal gland then acts as a focal point to create a vision. The Third Eye is a very clever bit of natural evolution that allows you to see the patterns in your life. Even more amazing, your third eye can reveal these patterns to you by overlaying this information on top of your other senses.
sasa swali ni jee ni jinsi gani jicho hili la tatu lina fanya kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app