Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Daaaaah..nashukuru sana braza kwa kuleta udhi huu..binafsi nimekuwa mtu ninaefuatiia mambo makubwa sana hata yale ambayo sina uwezo nayo.. Kitu kikubwa kinachonisukuma ni kutaka kujua kwanin hawa illuminant na freemasonry wanavolitumia jicgo la tatu katk kuona mbali.

Kiukweli wale jamaa wana uwezo wa kusense kitu kitakachotokea hata miaka mia moja ijayo kwa kutumia taswira angavu yenye uwezo ya kuyajua mawazo yako hata kabla hujaamua jambo..

Ndio maana walio wengi walio katika mtandao wa freemasonry na illuminat wanapogundua kuwa wapo katika njia mbovu yenye laana kubwa badae wakitaka kutoka kundini wanakufa mapema hata kabla ya kutimiza ndoto zao za kujikomboa katika ukanda wa satarnic worship ....

Nitawaeleza kwanini hii inatokea;

Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa mwanadamu unapozaliwa, hekima yako, ufahamu na maarifa yako yote yapo controlled under pineal gland located near the base of pituitary gland... This is the mainly gland the control circadian rythm with respect to body morphology under specific objectives to bring the body at any deviated conditions....

Hii tezi(pineal gland) ndiyo inayotoa vichochezi maalumu vinavoamsha hali ya meditation in relation to will power to do something....lakin rate ya utoaji wa hormens hizi hupungua kadri umri unavozid kwenda... Nikimanisha kuwa mtoto mdogo anareceive high input on neuro awerenes kuliko mtu mzima simply bcoz your pineal gland stimulation is minimumly to decline....

Yaani upeo wa jicho angavu la 3 hupungua zaid kuliko hali yake na kadri pineal gland inavotoa stimulation za kutosha ndipo neurofunction inakuwa kubwa sana in relation to mind and will power.... Yaani inasemekana mtoto mdogo ana upeo mkubwa wa kusense hata mapepo kuliko mtu mzima kwan neuroinput ni kubwa kwake kuliko mtu mzima.

Ndo mana kuna wakati mwingine mtoto anaweza lia usiku wa manane kuashiria danger cituation lakin kwa kuwa mtu mzima unareceive low pineal gland input ndo manaa will power inakuwa ndogo katika kujua nyakati na majira mazuri na mabaya....

Katika utafiti huo uliofanywa na illuminant katka kuicontrol dunia(watu) ni pamoja na kuzuia au kutokomeza kabisa uwezo wa kuamsha hisia za uwezo wa jicho la tatu la mwanadamu linalomuwezesha kujua nyakati na majira yaliyokatika nuru na giza ..

Wamekuja na mpango wa kutokomeza uwezo wa kusisimua uwezo wa pineal gland kutoa vichocheo vinavyoliwezesha jicho la tatu kuona mbali.. Ndio maana illuminant wanalitegemea kama taa imulikayo mbali katika kufanya maamuzi yao....

Wamebuni ni sumu gani watakayompandikizia mwanadamu ili iweze kupunguza uwezo wa kuamsha hisia za jicho la tatu?

1.) Wamegundua kuwa sumu iliyopekee kuwa na uwezo wa kushambulia kwa kasi pineal gland ni FLOURIN and CHLORINE FREE RADICALS ambazo ndio sumu hatari sana katka kutokomeza hali hiyo.. Free radicals ni sumu ambazo huzuia hormones au utendaji kazi mzuri wa pineal gland mwilini hivyo bas vikiwa vinaingizwa mwilini kila siku vitaharakisha kuzuia au kukata kabsa the release of SEROTONIN HORMONES ambazo ndio kiini cha usingizi na MEDITATION KATIKA MAISHA YA MWANADAMU...

Kama mtu atakosa vichocheo hivyo hakika hataweza pata usingizi utakaopelekea kuamsha hisia za uwezo wa jicho la tatu.... Ndio mana kadri unavozidi kuwa na umri mkubwa ndipo muda wa kulala unapungua zaidi (unachelewa kulala lakini pia unawahi kuamka) ni tofaut na watoto wadogo...

So FLOURIN na CHLORIN FREE RADICALS zimewekwa katika dawa za meno ambazo kila mwanadamu anatumia kila siku.. Ndio maana kizazi cha sasa hivi uwezo wa kufikiri unapungua simply bcoz of free radicals flourin and chlorin... Ndio maana wataalamu wanasema unapopiga mswaki usimeze dawa ile.. Wana maana yake japo its so sectet to rescure few people..

2.) Wanatumia mionzi ya simu, x rayz na mionzi mingine kupiga katka pineal gland ili kuharibu serotonin production ambayo ndio msingi mkubwa wa kuamsha jicho la tatu ambalo ndio KIINI CHA KUJUA SIRI ZOTE ZA TECHNOLOGY YOTE NA HATA UWEZO WA KUJUA MAMBO YOTE YALIYO KATIKA NURU NA GIZA.. Upungufu wa utendaji kazi wa pineal gland unamfanya mwanadam awe na uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo makubwa... Ukitaka kuaminin jaribu kujiuliza hivi ni kwanini kadri siku zinavozidi kwenda uwezo wa kufikiri wa mwanadamu unapungua lakini discoveries zinaongezeka??

Technology inakuwa kwa kasi simply becouse operators wanatumia jicho la tatu under ALLIENS TECHNOLOGY IMPLANT inayotumia jicho la tatu.. Mwanadamu anafanya kazi ya kuasemble vifaaaa tu na sio kutengeneza....

That is the big secret kwa wachache lakini ila tulio wengi hatujui how technology inversion inavokuwa....

So my dear brothers and sisterz kuna umuhimu mkubwa sana wa kujua kulitumia jicho la tatu yan ukiweza thibit upotezo wa nguvu za kuliamsha jicho hilo hakika unaweza ukajihisi kuwa wew ni nabiii kumbe ni namna ulivoweza thibit impacts of free radicalson your pineal gland.....

ZIJUE NYAKATI NA MAJIRA KATIKA KUUTAMBUA ULIMWENGU LAKINI HAKIKA HAUTAWEZA MPAKA UJUE NAMNA JICHO LA TATU LILIVYOKUWA NA UWEZO WA KUKUPA UWEZO HUO..

..AMINAAAA
Unashauri tutumie dawa gani kuswakua na izo free chlorine radicals ni zipi mkuu
 
Mshana Nna shida kubwa mkuu! Nlikua nimepakua beat Fulani ya kufungua jicho la 3 nikakaa kwenye half posture huku naskiliza kwa headphone ilikua jumanne since then nyumba yangu naiona balaa, usiku naona kama watu wanatembea chumbani kwangu! Nkilala kuna mda naona rangirangi kuna mda naona 1111 ! Please help me nirudi kawaida, au naomba ni-pm namba yako nikupigie tuongee kwa kirefu
Beat gani hilo mkuu
 
Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
akikujibu nitagi mkuu
 
Ndugu wadau Mimi nachezwa Sana na paji la uso, je maana yake Nini? Hii post Ni ya siku nyingi lakini haijalishi naombeni msaada. Asante
 
ndo inakua inaashiria nini mkuu
Inamaanisha ni sehemu sensitive sana na inaconnect na kila kitu jaribu kufumba macho mtu aje na kisu bila kukwambia aweke karibu bila kugusisha katikati ya paji la uso alafu utaniambia ulihisi nini
 
Inamaanisha ni sehem sensitive sana na inaconnect na kila kitu jaribu kufumba macho mtu aje na kisu bila kukwambia aweke karibu bila kugusisha katikati ya paji la uso alafu utaniambia ulihisi nini
Aisee interesting anyway unajua chochote kuhusu hizi mambo
 
Ndugu wadau Mimi nachezwa Sana na paji la uso, je maana yake Nini? Hii post Ni ya siku nyingi lakini haijalishi naombeni msaada. Asante
Kuna kitu kinaitwa Muscle twitch..maranyingi huonekana zaidi jichoni lakini viungo vingine pia hupatwa na hiyo hali.. Ila hili lako ni kama geni kidogo kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom