Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Aisee...Mambo makubwa Sana haya..mimi way back nilikuwa nikimuangalia mgonjwa.. Kuna nafsi inaniambia huyu hamalizi mwezi..na kweli mtu anakufa..Kuna siku mama mmoja akawa kwenye ugonjwa mpaka akaenda Nigeria kwa TB Joshua..nilipomuona tu ..ile nafsi ikaniambia huyu hamalizi mwaka..nikasononeka Sana..nikajiuliza nafsi nifanyaje ..nikajikuta najibizana na ile nafsi kuwa yule mama asife hai miaka 10 ijayo..

Hii inakuaje Mr Mshana Jr
 
Mshana naomba kuuliza swali,kuna hii ishu ya nikiwaza mtu lazima anipigie simu,hii imekaaje?sometimes inanipa tabu hususan wanaonidai,nikiwaza tu sim inaita[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
Hauko pekeyako ni wengi hwatokea hii hali ni mawasiliano ya kiroho kati ya watu wawili wenye ishu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhari ya wewe unapigiwa simu, mimi naonana nao kabisa uso kwa uso naweza kukutana nae akiwa kwenye ishu zake au akaja kunitafuta ninapopatikana
 
Hauko pekeyako ni wengi hwatokea hii hali ni mawasiliano ya kiroho kati ya watu wawili wenye ishu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
(Very serious)
Habari mkuu Mshana Jr naomba unisaidie tena hapa. Sasa hivi nimeandamwa sana na ndoto ya kuota nakimbizwa na kundi la watu na wakinikaribia tu kutaka kunikamata nafutika/ nayeyuka nageuka kuwa hewa Mimi nawaona wao hawanioni ila nakuwa nipo hapohapo walipo ila hawanioni. Imekuwa ikijirudia mara kadhaa.
Msaada mkuu, hivi hapa naandika hivi nimetoka kuota hiyo ndoto.
 
Sio wewe bali kuna vita ya kiroho ambayo unakuwa mshindi
 
Kila wakati namuomba Muumba anionyeshe jicho la tatu ili niweze kupambana na visivyoonekana na macho mawili. Maadam Mungu hakuonyeshi kwa wakati watu wanakimbilia kwa shetani. Hakika shetani ni chapchap ili mradi utimize masharti.
 
Nakuombea sana
 
Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.

dc556203657c470dbe63ccbc7d5602a4.jpg

Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.

c19a91f68d318dd66366655ef11060a7.jpg

Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.

f0ae1602a46f2fb9ece65cbd9be7812f.jpg

Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.

Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...

Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
Kumbe katika kufungua ilo jicho la 3 kuna two options negative and positive sa unajuaje this door I'm in negative au hapa nimeingia mlango wa positive I mean clearly mlango wa positive unafunguliwaje na wa negative unafunguliwaje or is just one way unafungua then mbele kwa mbele utachagua uende positive au negative
 
Kila kitu ni mind stated.. Situation unayoingia nayo ndio itakayokupa matokeo hasi au chanya
 
Back
Top Bottom