Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Jicho la tatu ni dhana ya fumbo na esoteric ya jicho la kubahatisha lisiloonekana, ambalo kawaida huonyeshwa kama liko kwenye paji la uso, ambalo hutoa mtazamo zaidi ya macho ya kawaida. Katika mila ya kiroho ya Kihindi, jicho la tatu linamaanisha ajna chakra
Jicho la tatu ni la kiroho na huona ya mbeleni kabla ya jicho la nyama
Watabiri wengi hulitumia sana jicho hilo na hata baadhi ya hawa wanaojiita manabii na mitume japo wao hulipata kupitia ushirikina
Naweza kulitumiaje mshana ?
 
Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.

dc556203657c470dbe63ccbc7d5602a4.jpg

Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.

c19a91f68d318dd66366655ef11060a7.jpg

Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.

f0ae1602a46f2fb9ece65cbd9be7812f.jpg

Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.

Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...

Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
Noted...
Nimeipenda hii...💪🏽👍🏽
 
Ndg Mshana nakushukuru kwa Neema ya ufahamu. Naomba kukuliza, nimekutana na baadhi ya wanaojiita watumishi wa MUNGU hususani Manabii, anaweza kuzungumza juu ya maisha yako ya miaka iliyopita na ijayo pasipo kuotea wala kuwa na taarifa yako kabla.

Ni nini hasa kinatokea hapa?
 
Mshana Jr inakuaje mtu unakuwa unaota ndoto zinazohusiana na mambo ya zamani. Mfano unaota upo primary na wanafunzi wale wale ulosoma nao.. Au unaota unafanya mtihani shuleni. Wakati mwingine unaota wale rafiki zako wa utotoni.

Imekaaje hii bro msaada tafadhali
 
Ndg Mshana nakushukuru kwa Neema ya ufahamu. Naomba kukuliza, nimekutana na baadhi ya wanaojiita watumishi wa MUNGU hususani Manabii, anaweza kuzungumza juu ya maisha yako ya miaka iliyopita na ijayo pasipo kuotea wala kuwa na taarifa yako kabla.

Ni nini hasa kinatokea hapa?
1. Kuna wenye hicho kipawa asilia
2. Kuna wenye kutumia nguvu za giza na mazingaombwe
3. Kuna wanaotumia janja janja ya kudukua historia yako
4. Kuna matapeli wanaoandaa watu wa kutoa shuhuda za uongo
 
Mkuu Kuna ukweli gani Juu ya haya:
Kuna mahali waliandika kuwa
Clairvoyance and clairaudience za watu zimefunikwa kwa makusudi untill uzaliwe kwa Mara ya pili Yani uwe mtu wa kiroho yaani kiungu Zaid au kichawi zaidi less than that huwezi lifungua Hilo ila Cha zaidi utakuwa ukipokea viishara na usivielew
Mfano waliouweka ili kuwa katika Wing Chun kupigana huku umezibwa macho.

#WAMENICHANGANYA KABISA
 
Mkuu vipi kuhusu nyumba za kisasa zenye choo cha ndani?!.
Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.

dc556203657c470dbe63ccbc7d5602a4.jpg

Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.

c19a91f68d318dd66366655ef11060a7.jpg

Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.

f0ae1602a46f2fb9ece65cbd9be7812f.jpg

Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.

Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...

Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
 
Mkuu Kuna ukweli gani Juu ya haya:
Kuna mahali waliandika kuwa
Clairvoyance and clairaudience za watu zimefunikwa kwa makusudi untill uzaliwe kwa Mara ya pili Yani uwe mtu wa kiroho yaani kiungu Zaid au kichawi zaidi less than that huwezi lifungua Hilo ila Cha zaidi utakuwa ukipokea viishara na usivielew
Mfano waliouweka ili kuwa katika Wing Chun kupigana huku umezibwa macho.

#WAMENICHANGANYA KABISA
Nimekuona nitakurudia
 
Iko hivi hazijafunikwa kwa makusudi bali maisha tunayoishi ndio hufunika. Bongo zetu ni so powerful lakini zimezingwa na uchafu mwingi hivyo kushindwa kufanya mengi
Ni mpaka pale utakapoanza kujitenga na uchafu wa dunia na kuanza self inner purification ndio utaanza kuingia kwenye ulimwengu mwingine wenye nguvu mno
 
Habari mkuu Mshana Jr Hivi, Jicho la Tatu, linaweza likampa/ kumuwezesha au kumuonyesha mtu mbinu na kumfanikisha kuwa tajiri katika maisha yake na kumpata mke wa ndoto yake?
 
Hapana litakuonesha your true inner soul na ukishafika hiyo hatua hutatamani ya kidunia tena japo kuna ambao hujiongeza na kulifanyia featuring na kupiga hela za wenye ahida mbalimbali kupitia utabiri na manabii feki
 
Back
Top Bottom