Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Ilitakiwa utoe na namna tunaweza kutumia njia mbadala na kuacha kutumia hzo dawa za meno.tutumie nn na je nn kifanyike kuongeza uwezo wa pinel grand
 
Nafikiri walikua wanakwepa kuliwa jicho
 
Kiukweli napenda sana meditation [emoji3284] ambayo ilinipelekea kufanya vitu vingi sana kwa wakati mchache ila sasa nimeacha nifanyaje nizoee kufanya meditation mana nilikuwa maranta kipindi cha usiku kuanzia saa sita hivi
 
Tafuta sababu iliyokufanya uache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok dawa no Julia kitu madhabahuni sio?
 
Hahahah kumbe ndo mana tukiamka asubui tunaosha uso kwanza na maji yanaanzia kwenye paji la uso

Halafu na hawa jinsia ya ke hua wanafanya makeup usoni zaid kuliko sehemu zingine za miili yao,

Najaribu kuwaza tu
Maana yake kuwa ili watu waweze kukutafsiri vyema au vibaya wanaanzia kukutazama usoni kwanza ,coz uso ndio utambulisho wako
 
Wewe ndugu una ufahamu sana
 
Vipi usharudia kuvuta MJANI mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…