Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Ulimwengu tulonao unaoparate chini ya siri kubwa sana na siri hiyo wanaijua wachache sisi huku ni wasindikizaji mkuu. Tunaishi nyuma ya waliomaliza kutuwekea limitation!......
N kweli mkuu kuna siri zinafichwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi wakituchora sisi tunavoangahika kupigana na kivuli chetu
 
Baada ya kusoma michango humu kuna maswali haya:

Je shetani anatumia siri ya jicho la tatu kama silaha ya kuitawala na kuitesa dunia?

Kuna watu ambao wakimuangalia mtu/watu usoni, au macho yake yakikutana na macho ya mtu/watu wengine lazima ateme mate, mfano wacheza mpira uwanjani, je hii ina uhusiano na jicho la tatu na kwa jinsi gani?

Wachawi na hawa mafriimasoni tunaambiwa wanapenda kula nyama na kunywa damu za watu. Je hivi vyakula vinasaidia kuimarisha jicho la 3? Mshana jr na wengine karibuni please.
 
Kwanza lazima ujue kuwa shetani anafanya mashindano na Mungu...kuna limitations nyingi sana amewekewa mwanadamu na Mungu wake ili abaki kumcha na kumwamini yeye tuu
Lakini shetani anazo siri nyingi za ufahamu wa juu zaidi na ndio hizo anazozitumia ili mwanadamu ajione ni zaidi na Mungu si chochote
Watu maarufu sana
Wachezaji maarufu sana
Watu matajiri sana
Waimbaji na hata waigizaji maarufu sana na watu wenye vipaji mbalimbali si wacha Mungu tena bali wanatumikia imani zenye mafundisho ya siri yanayokinzana na Mungu
 
Back
Top Bottom