Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu, jana nilisoma bandiko humu humu JF, linalohusu meditation ... hakika JF ni zaidi ya chuo chochote kile.Fanya meditation
Kaka hiyo Avatar imenikumbusha miaka ya 90 ... Its me against the world .. by T P Omary ShakourMshana we give you Phd if you dont mind,nimejifunza mambo ambayo sikuyajua.
Vingi sana ambavyo vimefichwa na wanaojua hawataki vijulikane na wengi
Kuna watu wachache wanaficha ukweliUkisoma hiki kitabu ndo utajua jamaa walishajipanga...
watu gani haoKuna watu wachache wanaficha ukweli
Kuna watu wachache wanaficha ukweli
Kuna baadhi ya watu wanye uelewa wa mambo au ukwel kuhusu binadamu na ulimwengu huu wameficha siri kwenye ulimwengu huuwatu gani hao
N kweli mkuu kuna siri zinafichwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi wakituchora sisi tunavoangahika kupigana na kivuli chetuUlimwengu tulonao unaoparate chini ya siri kubwa sana na siri hiyo wanaijua wachache sisi huku ni wasindikizaji mkuu. Tunaishi nyuma ya waliomaliza kutuwekea limitation!......
huyu bibi jamani dah. sijui kama babu yupo hai kwa hili gubu.Mleta mada haelewi anachokiandika, anababiababia.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
meditation ni muhimu lkn pia chakula punguza kula vyakula vyenye acid kama pombe. nyama nk. pia ongeza upendo na kusamehe wenzio.Utafanyaje ili jicho la tatu lifunguke na kuweza kuyaona mengi?
Google mkuunaomben link iliyoelezea meditation plz
thnx nimeshaipataGoogle mkuu
kama utahitaji vitabu zaidi nina softcopy kibao you can pm your e mail. ntashare nawe.thnx nimeshaipata
Kwanza lazima ujue kuwa shetani anafanya mashindano na Mungu...kuna limitations nyingi sana amewekewa mwanadamu na Mungu wake ili abaki kumcha na kumwamini yeye tuuBaada ya kusoma michango humu kuna maswali haya:
Je shetani anatumia siri ya jicho la tatu kama silaha ya kuitawala na kuitesa dunia?
Kuna watu ambao wakimuangalia mtu/watu usoni, au macho yake yakikutana na macho ya mtu/watu wengine lazima ateme mate, mfano wacheza mpira uwanjani, je hii ina uhusiano na jicho la tatu na kwa jinsi gani?
Wachawi na hawa mafriimasoni tunaambiwa wanapenda kula nyama na kunywa damu za watu. Je hivi vyakula vinasaidia kuimarisha jicho la 3? Mshana jr na wengine karibuni please.
Duu hiyo Kali.Kuna jamaa kitaani akivuta bangi anasema anawasiliana na akina Obama , bush , putin n.k hiyo inakuwa kweli?