Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana hili jicho la tatu location yake hasa iko wapi?? Katikati ya paji la uso au at the space between the eye brows??Karibu kwa maswali
So wat so special katika eyebrow centre maaana tabtruc tradition wanawejea mkazo sana hapo wakinasibisha ndiyo location ya hiyo third eyeKatikati ya paji la uso
I mean tantric traditionSo wat so special katika eyebrow centre maaana tabtruc tradition wanawejea mkazo sana hapo wakinasibisha ndiyo location ya hiyo third eye
Sawa nilipiti juu juu now wacha nitulie katika kuusomaHebu soma mwanzoni kabisa mwa mada utapata mwanga
Umetisha sana ufafanuz yakinufuNaamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.
![]()
Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.
![]()
Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.
![]()
Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.
Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...
Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.