muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
sawNi mfumo huohuo kama gari ina taa lakini Kuna za mbele na kuna za nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawNi mfumo huohuo kama gari ina taa lakini Kuna za mbele na kuna za nyuma
Na hata mtu akifa kwenye jeneza kuzikwa ni chaliKuna kitu nimeanza kukielewa hapo hasa nilivyosoma hicho kitabu cha KUTOKA 13:16 kwenye Biblia.
Ngoja tuanze sasa kufukunyua nondo za huu uzi taratibu.
Ipi ni athari ya kulala chali, na kwa nini watawala wengi wa zamani walikuwa hawalali kifudi fudi??
Ukiangaliakumbu kumbu za mafarao wa misri walikuwa wanawekewa kabisa mto wa kulaliaambao ulikuwa hauwaruhusu kugeuza vichwa wakati wa kulala, na wote walikuwa wanalala chali.
Kuna siri gani hapa.??
Kweli mkuu kama kuna unalojua hapo utuweke sawa juu ya aina ya ulalaji😀 😀 😀
Mkuu barikiwa sana😀 😀 😀
Mkuu hv inakuaje 'mm hua na mazoea ya kulala na ubavu, lakini nkiota ndoto hususan naotaga ndoto za kukimbizwa, nikishtuka najikuta nimelala chali alafu nmekunja miguu'[emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
Mmh link ziko nyingi ingiza tu heading utaletewa chaguzi za kutoshaMtaalamu@mshana naomba kujua majina ya vitabu au youtube link kwa begginer wa meditation
Sent using Jamii Forums mobile app
Isome tena mada kule juu nimelijibu hiliMkuu hv inakuaje 'mm hua na mazoea ya kulala na ubavu, lakini nkiota ndoto hususan naotaga ndoto za kukimbizwa, nikishtuka najikuta nimelala chali alafu nmekunja miguu'
Ebu nsaidie ktk hilo kwa niaba ya wote ambao hii hali inawakumba wao au watu wao wa karibu
Ahsante
Mmh ngoja nisikujibu hili kwa sasa kwakuwa sina hakika sanaNaomba pia kujua kuna uhusiano wowote kwa watu wanao miliki supernatural powers na mwezi June, ni kama naona walio wengi wamezaliwa mwezi June ??
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.
Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.
1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus![]()
Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.
2. Mathematics![]()
Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.
3. Tahjud (Meditation)
![]()
Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.
4. Baptism & Sijda![]()
![]()
Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..
Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.
5. A kiss on the Forehead
![]()
Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.
6. FREEMASONRY
![]()
Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu
7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)![]()
Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.
8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.
Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.
Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.
Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.
Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.
Ni vizuri kulitumia hasa positively... Hawa wanaojiita waganga na manabii wengi wana posess half of itMkuu naomba kuuliza
Nivibaya kutumia hilo jicho la tatu??
Je? Kuna madhara yoyote ukitumia jicho la tatu?
Je? Kunafaida gani ukitumia jicho la tatu??
[emoji102][emoji872]
Ni vizuri kulitumia hasa positively... Hawa wanaojiita waganga na manabii wengi wana posess half of it