Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Dream Queen waache tu, Kama una weza watembee mema Kama kuwapa chakula na maziwa.

Binadamu na wanyama tuna nguvu fulani, ziki kutana Wana jua huyu ni mwema au mbaya.
Kama ungekuwa mbaya wange kuogopa, au kukudhuru.

treat them good, and you will thank me later.

Nafuga paka na wadudu wengine pia, na zaidi wana energy fulani hivi nzuri kimazingira.
 
Kwa Hizo comment zenu za roho nzuri,nimekubali Mimi ni certified roho mbaya.....Sio tu kuwapenda sipendi hata kuwaona hao wadudu ....wanyama waroho utasema Nini sijui wanakuangalia machoni ukiinua kipaja Hadi unavyotafuna Hadi unavyomeza ndio Nini sasa,!
 
Ahsante mwaya, kuna mtu alisema personality yangu ni Cat Person nimeamini, nimeishia kua mfugaji wa Paka mzuri na nina watunza sana,

Nimewaza nifanye project wa kuwarescue Paka wa mitaani hasa Paka wadogo na wenye mimba kisha niwapatie Shelter, napenda sana Wanyama, napenda zaidi Paka.
 
Pole sana, it's okay kama wewe sio a Catperson labda ni a Dogperson, kikubwa tu usiwadhuru sheria yasema jela miezi 6 na faini juu. [emoji38]
 
Pole sana, it's okay kama wewe sio a Catperson labda ni a Dogperson, kikubwa tu usiwadhuru sheria yasema jela miezi 6 na faini juu. [emoji38]
Dog no noooo nooo huyo muuaji mkubwa alimuua Mzee kingunge...Mfugo pekee naupenda ni Sungura,,,yaaani hata akichinjwa Siwezi kula nyama yake Hadi naingia kaburini......Paka ananijua yaani nikimkata tu jicho Moja anakaa Mita mia 200 kama kituo Cha uchaguzi na wanachadema...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hiyo ndo asili yako bibie, acha uoga. Eti Mzee kingungeπŸ˜‚
 
Yah ita pendeza sana, uki fikisha Hata paka 50.
Nita kutafutia wateja wa kununua, paka ni viumbe fulani wazuri.
 
Juzi mapaka yalikuja yakawa yanalia Lia Sanaa usiku wa manane kwenye hiyo nyumba kesho kutwa yake jion mwenye nyumba kafarik...

Mapaka Yana Siri kubwa Sana kwenye ulimwengu wa Giza..

Vipi kiuchumi,kimaendeleo,kimausiano??

NB.
PENGINE WEWE NI MKARIMU NA MWENYE UPENDO KWA WANYAMA
 
 
Ukisikiabuna Roho ya paka Manake Una bahati, wewe Una roho ya paka yaani umewabeba sio ile mbaya
 
There's something about you, labda upo na high spiritual energy inayo attract hao viumbe, mimi pia kwa wanyama sio paka tu, hata kuku huwa wanapenda kuwa karibu nami. Najua wengi watacheka na kubisha ila kuna nishati isiyo onekana kwa macho ya nyama ila hao viumbe wanaweza kuisense haraka na kujua mawazo na malengo uliyonayo kumuhusu. So hata usishangae mummy! It's your energy.

Cha kufanya wewe endelea kuwa karibu nao, na kuoffer chakula kama kawaida.
 
Una malengo Gani na kuku mkuu?kama wanauwezo wa kujua ndio maana wakiniona nduki!kuku nikimuona tu nawaza kidali😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…