Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Wewe unadhani kwanini paka wawe wanafia kwako tu?

Paka wanaishi muda mrefu sana sasa nashangaa hajawahi kuishi na paka hata miaka mitanoe.
 
Wewe unadhani kwanini paka wawe wanafia kwako tu?

Paka wanaishi muda mrefu sana sasa nashangaa hajawahi kuishi na paka hata miaka mitanoe.

Hao waliokufa walikua wamefika umri mkubwa ukimtoa yule aliyewekewa sumu,

Paka wangu niliyemfuga mimi aliishi miaka 8, alikua dume, mama yake aliishi miaka 5.
 
Una malengo Gani na kuku mkuu?kama wanauwezo wa kujua ndio maana wakiniona nduki!kuku nikimuona tu nawaza kidali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimecheka sana,
Basi kumbe kweli hao viumbe wana macho ya rohoni wanajua kabisa huyu ana lengo la kutufanya kitoweo
 
Mimi nakuelewa na umenielezea kabisa, kupitia uzi huu ndio nilikuja kujitambua mimi ni nani kwenye ulimwengu wa kiroho kupitia wanyama hasa Paka.
 
Shindwa pepo, Holy Ghost Fire, πŸ”₯
 
Nimecheka sana,
Basi kumbe kweli hao viumbe wana macho ya rohoni wanajua kabisa huyu ana lengo la kutufanya kitoweo
Ndio Wana macho ya rohoni,Kuna mmbwa nilimuona nyumba Fulani Kwa watu,huyo mmbwa anabwekea hewa yaani kama Kuna kitu anakibwekea mi sioni Mtu aaaghhr ndio alizidi kunichanganyaπŸ˜…πŸ˜…
 
Una malengo Gani na kuku mkuu?kama wanauwezo wa kujua ndio maana wakiniona nduki!kuku nikimuona tu nawaza kidali😁😁😁😁
🀣🀣🀣 basi una nuksi! Kiumbe yeyote anauwezo wa ku sense hatari kabla haijamkumba.
 
Mimi nakuelewa na umenielezea kabisa, kupitia uzi huu ndio nilikuja kujitambua mimi ni nani kwenye ulimwengu wa kiroho kupitia wanyama hasa Paka.
Sawa, je unakula nyama? Au ww ni vegetarian!?
 
Bibi yangu mmoja alikua na mipaka miwili.
Mmoja mama mtu hakuwa na shida tutakaa tutapiga story yaani ile mnakumbatiana analala.
E bwana alikua na toto tundu lake.
Ukitaka kula gegedo linafungua mlango linajilaza kati.
Nikiwa naangalia tv linakuja linazima,mara linata msosi mara ulipeleke chooni.
Tukawa tunafukuzana na kimbizana kila muda.
X alisema paka huyo alipata cancer wakaenda kumtema.
Ila mama mtu yupo mpoole.
 
Mnyama anayenitazama machoni muda wote bila kupepesa macho ziwezi kukaa naye karibu muda mrefu, itabidi aende tu sina imani naye.
Mkuu hivyo anavyokutizama usoni kuna kitu anakisoma kwako tabia hii as kwa paka tuu hata mbwa pia anayo 😁
 
Sl
Hakika mkuu, ila mi nawapenda maana they are so cute...

Ukiwa free mnacheza wee, na ukimtizama usoni unaona kabisa anafurahia.πŸ˜‚

Akiwa amepumzika zake uanze kumsumbua utaona anamind, anakuwa anakutishia na vimikono vyake..πŸ˜‚
Pia kumbuka Paka wote mikono utumia Mashoto
 
We
Ndio mroho pia mchoyo

Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…