Yaani hat hayo makombo simpi!akatafute huko,kwanza ana urafiki wa mashaka nikipika ugali na maharage hasogei jikoni ila akisikia tu nyama huyo kafika jikoni kama sio unafiki ni Nini?We
Ndio mroho pia mchoyo
Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
Hapo unamuonea, Paka na Maharage wapi na wapi jamani halafu Paka hata Nyama sio mpenzi kiviiiile, yeye hupenda Samaki na Dagaa, na ukimzoesha kumpa chakula wala hawi mwiziYaani hat hayo makombo simpi!akatafute huko,kwanza ana urafiki wa mashaka nikipika ugali na maharage hasogei jikoni ila akisikia tu nyama huyo kafika jikoni kama sio unafiki ni Nini?
Shida wabongo wengi hufuga Paka ili amlie Panya zake, hiyo sio kazi ya Paka, Paka ni kiumbe kamili ni haki yake kupewa chakula kizuri, tena Paka wanakula hadi mara sita kwa siku, sababu hula kidogo kidogo sio kwa mkupuo kama Mbwa,We
Ndio mroho pia mchoyo
Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,Sl
Pia kumbuka Paka wote mikono utumia Mashoto
Upo sahihi kabisa, nina Upendo na Huruma nyingi sana, Paka wangu wa mwanzo alivyokufa nililia sana, niliomboleza kwa kipindi kirefu alikua mzuri na rafiki mwema ila nilifurahi aliniachia mtoto wake mzuri na mwenye maringo na yeye aliishi kwa muda mrefuUna roho nzuri. Paka ana uwezo wa kujua kama mtu ni mpenzi wa paka au la.
Na asilimia kubwa ya watu wanaopenda paka basi huwa na roho ya upendo na huruma.
Hongera
Nyama nakula hasa Kuku ni my fav [emoji39][emoji1787]Sawa, je unakula nyama? Au ww ni vegetarian!?
Yah hii pia nimeliona kwa Paka wangu akifanya kosa ukampiga kuna namna anakuwa mpole kuna kammlio fulani hv atalia wakuomba msamaha ,Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,
Paka akifanya kosa anajua ila sasa inategemea na mood yake anaweza akaweka ujeuri yaani nishafanya na lolote hunifanyi au akajihisi mwenye hatia akaanza kukubembeleza ukasamehe
๐ ๐ ๐ Mmh Mimi hapana jamaniHapo unamuonea, Paka na Maharage wapi na wapi jamani halafu Paka hata Nyama sio mpenzi kiviiiile, yeye hupenda Samaki na Dagaa, na ukimzoesha kumpa chakula wala hawi mwizi
Kuna mapaka Wana kuoa mpaka chachandu asiee๐๐We
Ndio mroho pia mchoyo
Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
Unaona wivu kumwekea paka kipande Cha nayam kweli??๐๐๐.๐ ๐ ๐ Mmh Mimi hapana jamani
Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamaniYah hii pia nimeliona kwa Paka wangu akifanya kosa ukampiga kuna namna anakuwa mpole kuna kammlio fulani hv atalia wakuomba msamaha ,
Lkn akiwa hana hatia ukiwa unampiga kuna mlio analia ni kama anakutahadhalisha kuwa" mm sina makosa naomba uniache" kuna namna anabadilika aisee lazima utamwacha ni anaogopesha hasa akiivimba ni hatari
Jamaniiii n'shapewa jina la minyau tena [emoji23], binaadam!
Tofauti ya paka na mwanamke ni ndogo sana ๐Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,
Paka akifanya kosa anajua ila sasa inategemea na mood yake anaweza akaweka ujeuri yaani nishafanya na lolote hunifanyi au akajihisi mwenye hatia akaanza kukubembeleza ukasamehe
Bonge la teke....utasikia nyauuuu๐Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
kasome kuhusu toxoplasmosis ndio utapata jibu kwanini unavutiwa na paka.Hapo zamani nilikuwa siwapendi hao wanyama. Hivi leo nawapenda kupita maelezo.
Nyau ana uwezo wa kujua unamwazia nini. Ukiwa na moyo wa upendo juu yake, yeye hujua na hufanya hivyohivyo juu yako.
Na hii si kwa nyau tu wa kufugwa ndani, ni CAT FAMILY kwa ujumla.
something proven.
Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
Unatia mabanzi yakizushi huku unamsemesha nakumuonesha kosa alilolifanya kama kadokoa finyango ama kakata gogo kwenye ungaUnampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
Aah mie mtu akitaka kuona hasira zangu mpige au kumfokea PakaBonge la teke....utasikia nyauuuu[emoji17]