Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

We

Ndio mroho pia mchoyo

Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
Yaani hat hayo makombo simpi!akatafute huko,kwanza ana urafiki wa mashaka nikipika ugali na maharage hasogei jikoni ila akisikia tu nyama huyo kafika jikoni kama sio unafiki ni Nini?
 
Hapo unamuonea, Paka na Maharage wapi na wapi jamani halafu Paka hata Nyama sio mpenzi kiviiiile, yeye hupenda Samaki na Dagaa, na ukimzoesha kumpa chakula wala hawi mwizi
 
We

Ndio mroho pia mchoyo

Ukitaka paka asikusumbue unapotaka kula hakikisha na yeye unamuweka pembeni kwa chombo chake ,sio we unakula unakuja kumpa makombo sio sawa
Shida wabongo wengi hufuga Paka ili amlie Panya zake, hiyo sio kazi ya Paka, Paka ni kiumbe kamili ni haki yake kupewa chakula kizuri, tena Paka wanakula hadi mara sita kwa siku, sababu hula kidogo kidogo sio kwa mkupuo kama Mbwa,

Paka anapenda raha na madeko lakini nyumba yenye Paka basi Panya hasogei, ni vema mtu akifuga Paka asiache kumpa chakula eti akakamate Panya hapana sio sawa huo ni unyanyasaji wa Wanyama.
 
Sl

Pia kumbuka Paka wote mikono utumia Mashoto
Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,

Paka akifanya kosa anajua ila sasa inategemea na mood yake anaweza akaweka ujeuri yaani nishafanya na lolote hunifanyi au akajihisi mwenye hatia akaanza kukubembeleza ukasamehe
 
Paka wanapenda sana Harufu ya Samaki na Samaki wenyew.
Ww utakua una hyo Harufu ya kisamaki.
 
Una roho nzuri. Paka ana uwezo wa kujua kama mtu ni mpenzi wa paka au la.

Na asilimia kubwa ya watu wanaopenda paka basi huwa na roho ya upendo na huruma.
Hongera
Upo sahihi kabisa, nina Upendo na Huruma nyingi sana, Paka wangu wa mwanzo alivyokufa nililia sana, niliomboleza kwa kipindi kirefu alikua mzuri na rafiki mwema ila nilifurahi aliniachia mtoto wake mzuri na mwenye maringo na yeye aliishi kwa muda mrefu
 
Uzi huu haunihusu. SIPENDI PAKA hata tukikutana njiani kwa bahati mbaya anabadili njia mwenyewe
 
Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,

Paka akifanya kosa anajua ila sasa inategemea na mood yake anaweza akaweka ujeuri yaani nishafanya na lolote hunifanyi au akajihisi mwenye hatia akaanza kukubembeleza ukasamehe
Yah hii pia nimeliona kwa Paka wangu akifanya kosa ukampiga kuna namna anakuwa mpole kuna kammlio fulani hv atalia wakuomba msamaha ,

Lkn akiwa hana hatia ukiwa unampiga kuna mlio analia ni kama anakutahadhalisha kuwa" mm sina makosa naomba uniache" kuna namna anabadilika aisee lazima utamwacha ni anaogopesha hasa akiivimba ni hatari
 
Hapo unamuonea, Paka na Maharage wapi na wapi jamani halafu Paka hata Nyama sio mpenzi kiviiiile, yeye hupenda Samaki na Dagaa, na ukimzoesha kumpa chakula wala hawi mwizi
😅😅😅Mmh Mimi hapana jamani
 
Yah hii pia nimeliona kwa Paka wangu akifanya kosa ukampiga kuna namna anakuwa mpole kuna kammlio fulani hv atalia wakuomba msamaha ,

Lkn akiwa hana hatia ukiwa unampiga kuna mlio analia ni kama anakutahadhalisha kuwa" mm sina makosa naomba uniache" kuna namna anabadilika aisee lazima utamwacha ni anaogopesha hasa akiivimba ni hatari
Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
 
Napenda ile tabia yake anapanda juu ya meza au dressing table halafu anaanza kudondosha kitu kimoja kimoja huku anachungulia chini kinavyodondoka na kama upo karibu anakutizama usoni aone reaction yako na hata ukimtoa anakua mbishi hadi atakapodondosha kitu anachojua unakipenda basi atakimbia na kujificha unaweza usimuone kwa masaa mengi,

Paka akifanya kosa anajua ila sasa inategemea na mood yake anaweza akaweka ujeuri yaani nishafanya na lolote hunifanyi au akajihisi mwenye hatia akaanza kukubembeleza ukasamehe
Tofauti ya paka na mwanamke ni ndogo sana 😀
 
Hapo zamani nilikuwa siwapendi hao wanyama. Hivi leo nawapenda kupita maelezo.

Nyau ana uwezo wa kujua unamwazia nini. Ukiwa na moyo wa upendo juu yake, yeye hujua na hufanya hivyohivyo juu yako.

Na hii si kwa nyau tu wa kufugwa ndani, ni CAT FAMILY kwa ujumla.

something proven.
kasome kuhusu toxoplasmosis ndio utapata jibu kwanini unavutiwa na paka.
 
Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani

Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
Unatia mabanzi yakizushi huku unamsemesha nakumuonesha kosa alilolifanya kama kadokoa finyango ama kakata gogo kwenye unga
Maana paka muda mwingine wanaujinga mwngi😁
 
Back
Top Bottom