Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Mimi kuna restaurant moja uswazi nilikuwa napenda kwenda Kula sana...
Na ilikuwa na pakka kama watatu..
Nikifika lazima waje wapite waniguse na mkia
Halafu nawatupia nyama..

Siku moja wakati chakula kinaandaliwa wale paka wakaja kwangu kunigusa na mkia..
Nilikuwa na manager wa huo mgahawa
Nikamwambia nyinyi mmeweka paka hapa
Ili watusumbue wakati tunakula...
Siku hiyo nilikula chakula huku paka wananitazama..hawakunisumbua kabisa..nilishangaa
 
Jana asubuhi nimekuta wameniwekea bonge la Panya buku sijui wamelitoa wapi, hawajalila ila wameliweka mlangoni kabisa almanusura nimkanyage wakati natoka, na wao walikua pembeni waniangalia tu.
Lol, hao Paka wanatafuta nyumba ya kuishi, wamekuletea huyo Panya kusudi uwakaribishe wao wanaona wamekuletea zawadi sababu kwao ni chakula chao pendwa,

Ukijua tabia za Paka raha sana, tena hata unayemfuga nyumbani kuna siku anaweza kuja na mzoga wa ndege huko akakuwekea kwenye sahani yako ya chakula, yeye anajiona shujaa amekuwindia,
Napenda sana Paka.
 
Wastaarabu na wana upendo mnooooh. [emoji177][emoji177]
Yaani upo kama mimi napenda mno Paka, naweza nikamuongelea Paka wangu the whole day, lol

Naipenda ile feelings nikiwa nimesafiri halafu narudi aisee anavyopagawa, atanipandia, nitaoneshwa sarakasi zote, atataka attention yote iishie kwake, mpaka atahakikisha usiku analala karibu yangu, skin to skin.
 
Haya makubwa sasa.
Huyo paka kama ni wa akiume basi tambua ni boyfriend wako uliyemdamp zamani na wingi wa paka husika basi ujue ni wingi wa wanaume uliokuwa umewatosa...kuna paka mmoja nimeuona tazama yake ni kama ya mshkaji wangu mmoja aliyetoswa na demu wake ambaye hadi leo hajaamua kutangaza nia nyingine.
 
Weeeeeeeh! Apia 🙆
 
Yaani upo kama mimi napenda mno Paka, naweza nikamuongelea Paka wangu the whole day, lol

Naipenda ile feelings nikiwa nimesafiri halafu narudi aisee anavyopagawa, atanipandia, nitaoneshwa sarakasi zote, atataka attention yote iishie kwake, mpaka atahakikisha usiku analala karibu yangu, skin to skin.
Yaan hatareeeh dea, paka wana upendo wa ajabu, mie nkiendaga home lol kipindi chote ntakachokuwa pale itakuwa n kucheza nae tyuuuh had kulala kitandani. Wazazi huwa wananishangaa, ila me nawaambia huyu n rafiki angu muacheni ni slay nae.
 
Mimi kuna restaurant moja uswazi nilikuwa napenda kwenda Kula sana...
Na ilikuwa na pakka kama watatu..
Nikifika lazima waje wapite waniguse na mkia
Halafu nawatupia nyama..

Siku moja wakati chakula kinaandaliwa wale paka wakaja kwangu kunigusa na mkia..
Nilikuwa na manager wa huo mgahawa
Nikamwambia nyinyi mmeweka paka hapa
Ili watusumbue wakati tunakula...
Siku hiyo nilikula chakula huku paka wananitazama..hawakunisumbua kabisa..nilishangaa
Walikuona umewakunjia uso, Paka hakai kwa mtu anayemchukia tena hata akimuona kwa mbali tu hukimbia.
 
Back
Top Bottom