APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Uchawi/ UshirikinaUturutumbi ndo nini yakhe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi/ UshirikinaUturutumbi ndo nini yakhe?
Ni uchawi kanda ya ziwa ndiyo huita hivyoUturutumbi ndo nini yakhe?
Yaani hata mimi sijui ila nimewaza tuItakua ni nini hiyo shosti,
Lol, hao Paka wanatafuta nyumba ya kuishi, wamekuletea huyo Panya kusudi uwakaribishe wao wanaona wamekuletea zawadi sababu kwao ni chakula chao pendwa,Jana asubuhi nimekuta wameniwekea bonge la Panya buku sijui wamelitoa wapi, hawajalila ila wameliweka mlangoni kabisa almanusura nimkanyage wakati natoka, na wao walikua pembeni waniangalia tu.
Yaani upo kama mimi napenda mno Paka, naweza nikamuongelea Paka wangu the whole day, lolWastaarabu na wana upendo mnooooh. [emoji177][emoji177]
Ndo maana niliachana na Jenifa...alikuwa akiniangalia hapepesi macho!Mnyama anayenitazama machoni muda wote bila kupepesa macho ziwezi kukaa naye karibu muda mrefu, itabidi aende tu sina imani naye.
Haya makubwa sasa.wanakuvizia ujisahau mkuu, hata fisi hua anavizia mkono uanguke autafune.
Asalaleee.....sasa kakikosea kakan'gata mkuu?Vinawalamba lamba baada ya wajuba kugoma kuzama chumvini[emoji23][emoji23]
Sipendi kukaa sehemu moja muda mrefu, pia nikiona sehemu sielewi elewi tu mie nahama.naomba nikuulize vipi mbona unahama hama nyumba kulikoni
Alaaa kumbe!Uchawi/ Ushirikina
Alaa kumbe! Ningekua nafatwa na kuku asingewaza uchawi, binaadam!Ni uchawi kanda ya ziwa ndiyo huita hivyo
Huyo paka kama ni wa akiume basi tambua ni boyfriend wako uliyemdamp zamani na wingi wa paka husika basi ujue ni wingi wa wanaume uliokuwa umewatosa...kuna paka mmoja nimeuona tazama yake ni kama ya mshkaji wangu mmoja aliyetoswa na demu wake ambaye hadi leo hajaamua kutangaza nia nyingine.Haya makubwa sasa.
Weeeeeeeh! Apia 🙆Huyo paka kama ni wa akiume basi tambua ni boyfriend wako uliyemdamp zamani na wingi wa paka husika basi ujue ni wingi wa wanaume uliokuwa umewatosa...kuna paka mmoja nimeuona tazama yake ni kama ya mshkaji wangu mmoja aliyetoswa na demu wake ambaye hadi leo hajaamua kutangaza nia nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuku analiwa hata wenyewe wangekuwa wanawafuata kuja kuwachukuaAlaa kumbe! Ningekua nafatwa na kuku asingewaza uchawi, binaadam!
Ndo akwambiaWeeeeeeeh! Apia 🙆
Mama una hela 😁Sipendi kukaa sehemu moja muda mrefu, pia nikiona sehemu sielewi elewi tu mie nahama.
Yaan hatareeeh dea, paka wana upendo wa ajabu, mie nkiendaga home lol kipindi chote ntakachokuwa pale itakuwa n kucheza nae tyuuuh had kulala kitandani. Wazazi huwa wananishangaa, ila me nawaambia huyu n rafiki angu muacheni ni slay nae.Yaani upo kama mimi napenda mno Paka, naweza nikamuongelea Paka wangu the whole day, lol
Naipenda ile feelings nikiwa nimesafiri halafu narudi aisee anavyopagawa, atanipandia, nitaoneshwa sarakasi zote, atataka attention yote iishie kwake, mpaka atahakikisha usiku analala karibu yangu, skin to skin.
Walikuona umewakunjia uso, Paka hakai kwa mtu anayemchukia tena hata akimuona kwa mbali tu hukimbia.Mimi kuna restaurant moja uswazi nilikuwa napenda kwenda Kula sana...
Na ilikuwa na pakka kama watatu..
Nikifika lazima waje wapite waniguse na mkia
Halafu nawatupia nyama..
Siku moja wakati chakula kinaandaliwa wale paka wakaja kwangu kunigusa na mkia..
Nilikuwa na manager wa huo mgahawa
Nikamwambia nyinyi mmeweka paka hapa
Ili watusumbue wakati tunakula...
Siku hiyo nilikula chakula huku paka wananitazama..hawakunisumbua kabisa..nilishangaa