Paka wawili wamekufa dukani kwangu, jirani naye amefiwa

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Asubui ya leo nimekuta dukani ndani kabisa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamna kabisa seemu ya paka kuigia.

Tumewatoa tukawatupa kwenye mapipa ya takata ila tumepata habari jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia leo. Huyu mfaniakazi wagu mmoja anasema ni muda tu alikuwa anajua jilani ni mtu mbaya sasa amemkomesha.

Nimeshidwa elewa kabisa mahusiano hayo yapoje yapoje. Huyu mfanyakazi wagu ni wa miaka mingi sababu hadi nimemnunulia gari dogo anapeda sana kazi yagu na muaminifu sijui kafania nini uyo jilani nimesagaa sana.
 
Hii Jilani ni nani?
 
Muadishi unasemaaa?
 
hii gilani ni mutu baya zsana
 
Huu mwandiko umeandika kama unamafua makali yamekubana haswaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…