Paka wawili wamekufa dukani kwangu, jirani naye amefiwa

Paka wawili wamekufa dukani kwangu, jirani naye amefiwa

Hivi Pembe za Panzi, Mbao za Mawe, Viatu vya Samaki aliendaga wapi?
 
Kilichonileta fasta ni huko kufiriwa. Akili ilienda kwingine kabisa.

Ila kanjibhai ungeandika hata English baadhi wangeelewa kuliko kufirisha watu wa watu 😀 😀 😀 😀
 
Asubui ya leo nimekuta dukani dani kabusa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamuna kabisa seemu ya paka kuigia

Tumewatoa tukawatupa kenie mapipa ya takata ila tumepata abali jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia lewo uyu mfaniakazi wagu mmoja anasema ni muda tu alikuwa anajua jilani ni mutu mubaya sasa amemkomesa.

Nimesidwa elewa kabisa mausiano ayo yapoje yapoje.uyu mfania kaz wagu ni wa miaka migi sababu adi nimemnunulia gali dogo anapeda sana kazi yagu na muaminifu sijui kafania nini uyo jilani nimesagaa sana
Dah mkuu jitahidi kuweka spelling vizuri habari nzuri ila nmechoka ghafla kuisoma
 
Kufiriwa hili neno pia unampa utata msomaji kuwa unamaanisha jirani amefiwa? Au watu wake wameingiliwa kinyume na maumbile🙌🙌
 
Asubui ya leo nimekuta dukani ndani kabisa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamna kabisa seemu ya paka kuigia

Tumewatoa tukawatupa kwenye mapipa ya takata ila tumepata habari jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia leo uyu mfaniakazi wagu mmoja anasema ni muda tu alikuwa anajua jilani ni mtu mubaya sasa amemkomesha.

Nimeshidwa elewa kabisa mahusiano ayo yapoje yapoje. Huyu mfanyakazi wagu ni wa miaka mingi sababu hadi nimemnunulia gari dogo anapeda sana kazi yagu na muaminifu sijui kafania nini uyo jilani nimesagaa sana
Wewe utakuwa Mkenya, ila sio tatizo karibu Tz. Sasa bwana kilichotokea ni kwamba huyo mfanyakazi wako anakupenda na anapenda biashara yako iendelee vizuri bila pingamizi. Yeye huyo mfanyakazi anajua umezungukwa na majirani wabaya na alichofanya ni kwenda kwa mganga wa kienyeji (witch-doctor) na kule amepewa dawa ya kuwatega wachawi wa duka lako. Wachawi walipokuja kwa umbo la paka, basi mtego ukawabaini na wakapigwa kichawi wakafa. Waliokufa actually sio paka, bali ni watu. Una jambo jingine?
 
Tena ulisahau, ungewachoma Hadi majivu, wanaweza kufufuliwa kichawi. Utasikia tu Kuna jirani alikuwa hoi ila kapata nafuu.
 
Asubui ya leo nimekuta dukani ndani kabisa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamna kabisa seemu ya paka kuigia

Tumewatoa tukawatupa kwenye mapipa ya takata ila tumepata habari jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia leo uyu mfaniakazi wagu mmoja anasema ni muda tu alikuwa anajua jilani ni mtu mubaya sasa amemkomesha.

Nimeshidwa elewa kabisa mahusiano ayo yapoje yapoje. Huyu mfanyakazi wagu ni wa miaka mingi sababu hadi nimemnunulia gari dogo anapeda sana kazi yagu na muaminifu sijui kafania nini uyo jilani nimesagaa sana
Ulikwenda kwa mwamposa nini?
 
Back
Top Bottom