Kuna taarifa gani hapa?My goosh hilo kumbatio lilikua mwake mwake eee au ni mgeni wa kumbatio mwenzetu!!! Cc: Mwanyasi
Teh teh ...... Hivi kumbe mupogo eeh
Napita tu mie
We waache tu wanamchezea baba paroko MP wa JWTZ na nyota zake tanoNinavyomfahamu PakaJimmy. ......ni mtu wa visasi sana.......na endapo atabaini kwamba siri hii si siri tena........nadhani kasheshe ya Miss Tanzania itafutika na kufunikwa na hii kadhia........
Ninavyomfahamu PakaJimmy. ......ni mtu wa visasi sana.......na endapo atabaini kwamba siri hii si siri tena........nadhani kasheshe ya Miss Tanzania itafutika na kufunikwa na hii kadhia........
Teh teh ...... Hivi kumbe mupogo eeh
Napita tu mie
Ningoje Mke Mwee. ....
Ayayayaaa asipaone mumeo hapa
Eheeee nimekubamba, em kuja kipande hiii we mtoro!
Kuna taarifa gani hapa?
Kumbatioa la Chumbageni?
Em kujeni tena Ta, tuwapeleke Chumvini? (yalikoanzia mapenzi - Ta)
Kujeni kwa pango "tukaombe na kuahidi sadaka" "tukakalie sofa" "tukapande ndege" "tukaingie kaburini" "tukaangalie michoro" (ya ajabu pangoni). Tuka dance na dereva wa Mkuu....... and actually tukaogelee Arushaone style, tukaoge maji ya ukili - Filipo atawaonesha kwa vitendo. Arabela tukakanyage mchanga wa moto pekupeku.
njoo KakaJimmy, watu8, Madame B Smile, Lily Flower, Filipo = marejesho Preta njoo @blakiwomani (logistics na uratibu) .................. werawera.
PJ stresss tupa kuleee
Pachaaaaaaaaaa...:gossip::hug::hug:
Nilikumis mpaka nikaichukia JF.
Ukiskia mumeo ana nyumba ndogo uliza inavyumba vingapi lol