Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

Pakajimmy amekorofishana na mpenzi wake

"Kumbatio la PJ"film is based on true story.
Hapa nimeibukia wapi wajameni?
Nitarudi.
 
Nipo Pacha wangu nazidi tu kukondeana kwa kukumis.
Angalau leo nahisi kama nimeongezeka Kilo nilipouona mwandiko wako my Sweet Pacha :lalala::angel::busu

Hebu do something bana pacha.........ukweli nimefurahi mno mno kukutana na mwandiko wako humu...tufanye mpango ile chit chat ya zamani irudi pacha...... Nambie lini waja nyumbani kwaajili ya mikakati rasmi lol
 
Pacha tulishakabidhi kijiti cha chit chat kwa kizazi cha sasa..
Wacha tu waiendeshe vile wapendezwavyo, tusije kuonekana ving'ang'anizi kama Lady Jay Dee 🙂
 
Back
Top Bottom