Kumbuka pia, CHADEMA ilishinda mijini pekee,Gamba liliishia kichwani mkuu halikutoka,
Hiyo Katiba IPO,Umeongea pumba mdau hiyo katiba mpya ya kikwete iko wapi? Uchaguz serikal za mitaa nafikiri ni wewe ndo hukuelewa kilichoendelea na zile fomu za matokeo huziona my take CCM inashinda chaguz kwa goli la maradona kila uchaguz
Nikumbushe ile rasimu ya katiba ya warioba ilipendekeza nini kuhusu muundo wa serikal ( Muungano) ili nijue unaelewa madudu ya ile rasimuHiyo Katiba IPO,
Kikwete aliishia alipoishia, sasa tunaweza kuirudisha mezani Ile Rasimu ya Warioba kabla haijachakachuliwa, tukaongeza marekebisho kadhaa, Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ikapatikana,
Si ajabu CCM ikaendelea kushinda Kwa kishindo.
Kumpa point tatu Lissu ambaye ndio kwanza anahangaika kuifikisha CHADEMA mashinani mwaka wa uchaguzi Si sawa.
Mijini ndio kwenye kila kitu mkuu, makao makuu ya taasisi yako mijini, wafanya maamuzi wako mijini, hapa Dar Meya wa jiji na meya wa manispaa ya ubungo, wako Chadema, kawe iko Chadema, kinondon Chadema, ilala Chadema, ukonga Chadema, kimara kwa manyika kule Chadema, panakalikaje mjini? haya ukienda kwa Sugu kule, Chadema, Arusha huko Chadema Sijui jimbo la Hai maeneo hayo unakaaje, kule mwanza hatari ukienda huku unapigwa maweKumbuka pia, CHADEMA ilishinda mijini pekee,
Ndipo ujue, CCM wakitumia vyema machinery zake kuanzia chini,
Bado wanaweza kushinda vita ya Uchaguzi, WAPINZANI wakalala na viatu kama walivyozoea,
Mapungufu yanarekebishika tukikaa mezani wananchi wote.Nikumbushe ile rasimu ya katiba ya warioba ilipendekeza nini kuhusu muundo wa serikal ( Muungano) ili nijue unaelewa madudu ya ile rasimu
Sasa utashindaje Urais Kwa kushinda majimbo ya mjini pekee?Mijini ndio kwenye kila kitu mkuu, makao makuu ya taasisi yako mijini, wafanya maamuzi wako mijini, hapa Dar Meya wa jiji na meya wa manispaa ya ubungo, wako Chadema, kawe iko Chadema, kinondon Chadema, ilala Chadema, ukonga Chadema, kimara kwa manyika kule Chadema, panakalikaje mjini? haya ukienda kwa Sugu kule, Chadema, Arusha huko Chadema Sijui jimbo la Hai maeneo hayo unakaaje, kule mwanza hatari ukienda huku unapigwa mawe
Sawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?Mapungufu yanarekebishika tukikaa mezani wananchi wote.
Mwisho wa siku, Yale yalikuwa maoni ya wananchi, yapaswa kuheshimiwa.
Zanzibar unakumbuka ya Jecha mkuu, sema ukweli nani alishindaSasa utashindaje Urais Kwa kushinda majimbo ya mjini pekee?
CCM Bado inaweza kutoboa, iondoe HOFU na iruhusu Tume huru ya Uchaguzi ikishirikiana na vyama vingine.
Inawezekana kujisahihisha.
Kauli hiyo ilitolewa na mlevi!Sawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?
Wana hofu mkuu, wakisema waache sanduku la kura liamue asubuhi kweupe wanaachia ikuluSawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?
Huo ni uongo hafifu,Zanzibar unakumbuka ya Jecha mkuu, sema ukweli nani alishinda
ukishinda majimbo ya vijijini hata nguvu unakuwa nayo ndogo, ujasiri unapungu, unakumbuka Magufuli alipoingia madarakani alikuwa anafanya ziara mikoa gani? si unakumbuka kimara walibomolewa nyumba zao kisa upanuzi wa bara bara vipi kule mwanza kwenye upanuzi wa kiwanja cha ndege alisema wapiga kura wake
Hili Mimi nalipinga.Wana hofu mkuu, wakisema waache sanduku la kura liamue asubuhi kweupe wanaachia ikulu
Umeona mkuu Rabbon pekee yake ndio yupo gizani CCM wanashinda Kwa kuiba KuraWana hofu mkuu, wakisema waache sanduku la kura liamue asubuhi kweupe wanaachia ikulu
vipi ucha uchaguzi wa 2015, wale vijana wa It waliokamatwa na vitendea kazi vyao vikanyang'anywa, huku vijana wa CCM chini ya Makamba wakiachwa waendelee kuchakachua, mbona unasahau mapema mkuu, kesi za wapinzani mahamani umesahau yale ya tabora mahakama ikafuta matokeo?Hili Mimi nalipinga.
Enzi za Kikwete palikuwa na Uchaguzi huru hapo Kwa uchache,
Kuna maeneo upinzani hawakuweka wagombea wenye ushawishi hivyo kushindwa kihalali.
CCM iache HOFU, ibadilike kabla ya kulazimishwa kubadilika.
Hakuna uchaguzi ambao chama flani kinashinda majimbo yote isipokuwa kuna wakati ni lazima tuseme ukweli hawa nyinyi akina Jecha ni tatizo Sana .Unaweza kuwa sahihi Kwa upande mmoja,
Lakini Kwa upande mwingine hauko sahihi,
Jimbo la Luhaga mpina, unaanzaje kulichukua?
ni tatizo kubwaHakuna uchaguzi ambao chama flani kinashinda majimbo yote isipokuwa kuna wakati ni lazima tuseme ukweli hawa nyinyi akina Jecha ni tatizo Sana .
Nakumbuka yote,vipi ucha uchaguzi wa 2015, wale vijana wa It waliokamatwa na vitendea kazi vyao vikanyang'anywa, huku vijana wa CCM chini ya Makamba wakiachwa waendelee kuchakachua, mbona unasahau mapema mkuu, kesi za wapinzani mahamani umesahau yale ya tabora mahakama ikafuta matokeo?
Hawa ninyi akina Jecha unamaanisha nn, sijaelewa.Hakuna uchaguzi ambao chama flani kinashinda majimbo yote isipokuwa kuna wakati ni lazima tuseme ukweli hawa nyinyi akina Jecha ni tatizo Sana .