Pre GE2025 Pakifanyika Reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, Watanzania wanaweza kuiamini na kuipigia kura CCM, tuondoe hofu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gamba liliishia kichwani mkuu halikutoka,
Kumbuka pia, CHADEMA ilishinda mijini pekee,

Ndipo ujue, CCM wakitumia vyema machinery zake kuanzia chini,

Bado wanaweza kushinda vita ya Uchaguzi, WAPINZANI wakalala na viatu kama walivyozoea,
 
Umeongea pumba mdau hiyo katiba mpya ya kikwete iko wapi? Uchaguz serikal za mitaa nafikiri ni wewe ndo hukuelewa kilichoendelea na zile fomu za matokeo huziona my take CCM inashinda chaguz kwa goli la maradona kila uchaguz
Hiyo Katiba IPO,

Kikwete aliishia alipoishia, sasa tunaweza kuirudisha mezani Ile Rasimu ya Warioba kabla haijachakachuliwa, tukaongeza marekebisho kadhaa, Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ikapatikana,

Si ajabu CCM ikaendelea kushinda Kwa kishindo.

Kumpa point tatu Lissu ambaye ndio kwanza anahangaika kuifikisha CHADEMA mashinani mwaka wa uchaguzi Si sawa.
 
Nikumbushe ile rasimu ya katiba ya warioba ilipendekeza nini kuhusu muundo wa serikal ( Muungano) ili nijue unaelewa madudu ya ile rasimu
 
Kumbuka pia, CHADEMA ilishinda mijini pekee,

Ndipo ujue, CCM wakitumia vyema machinery zake kuanzia chini,

Bado wanaweza kushinda vita ya Uchaguzi, WAPINZANI wakalala na viatu kama walivyozoea,
Mijini ndio kwenye kila kitu mkuu, makao makuu ya taasisi yako mijini, wafanya maamuzi wako mijini, hapa Dar Meya wa jiji na meya wa manispaa ya ubungo, wako Chadema, kawe iko Chadema, kinondon Chadema, ilala Chadema, ukonga Chadema, kimara kwa manyika kule Chadema, panakalikaje mjini? haya ukienda kwa Sugu kule, Chadema, Arusha huko Chadema Sijui jimbo la Hai maeneo hayo unakaaje, kule mwanza hatari ukienda huku unapigwa mawe
 
Nikumbushe ile rasimu ya katiba ya warioba ilipendekeza nini kuhusu muundo wa serikal ( Muungano) ili nijue unaelewa madudu ya ile rasimu
Mapungufu yanarekebishika tukikaa mezani wananchi wote.

Mwisho wa siku, Yale yalikuwa maoni ya wananchi, yapaswa kuheshimiwa.
 
si unaona saizi kokote anakupenda Mama anaimbiwa wanajipaka na matope, 2008 Kikwete alipigwa mawe huko mbeya watu hawataki ujinga
 
Mijini ndio kwenye kila kitu mkuu, makao makuu ya taasisi yako mijini, wafanya maamuzi wako mijini, hapa Dar Meya wa jiji na meya wa manispaa ya ubungo, wako Chadema, kawe iko Chadema, kinondon Chadema, ilala Chadema, ukonga Chadema, kimara kwa manyika kule Chadema, panakalikaje mjini? haya ukienda kwa Sugu kule, Chadema, Arusha huko Chadema Sijui jimbo la Hai maeneo hayo unakaaje, kule mwanza hatari ukienda huku unapigwa mawe
Sasa utashindaje Urais Kwa kushinda majimbo ya mjini pekee?

CCM Bado inaweza kutoboa, iondoe HOFU na iruhusu Tume huru ya Uchaguzi ikishirikiana na vyama vingine.

Inawezekana kujisahihisha.
 
Mapungufu yanarekebishika tukikaa mezani wananchi wote.

Mwisho wa siku, Yale yalikuwa maoni ya wananchi, yapaswa kuheshimiwa.
Sawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?
 
Sasa utashindaje Urais Kwa kushinda majimbo ya mjini pekee?

CCM Bado inaweza kutoboa, iondoe HOFU na iruhusu Tume huru ya Uchaguzi ikishirikiana na vyama vingine.

Inawezekana kujisahihisha.
Zanzibar unakumbuka ya Jecha mkuu, sema ukweli nani alishinda

ukishinda majimbo ya vijijini hata nguvu unakuwa nayo ndogo, ujasiri unapungu, unakumbuka Magufuli alipoingia madarakani alikuwa anafanya ziara mikoa gani? si unakumbuka kimara walibomolewa nyumba zao kisa upanuzi wa bara bara vipi kule mwanza kwenye upanuzi wa kiwanja cha ndege alisema wapiga kura wake
 
Sawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?
Kauli hiyo ilitolewa na mlevi!

Sanduku la kura ndio course ya mamlaka yote ya Serikali, sasa bila Sanduku la kura, utapataje uhalali wa kuongoza Nchi kikatiba?

Hata BIBLIA ilikataza viongozi wa watu kutumia vilevi, sie kwetu wanalewa hadharani tunawaangalia.🤔

Akili za pombe zikomeshwe!

Cc John The Baptist, Ushimen
 
Sawa . Naanza kuunga mkono hoja tulete katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ila weka kumbukumbu sawa unakumbuka hii kauli "CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI KWA SANDUKU LA KURA?
Wana hofu mkuu, wakisema waache sanduku la kura liamue asubuhi kweupe wanaachia ikulu
 
Zanzibar unakumbuka ya Jecha mkuu, sema ukweli nani alishinda

ukishinda majimbo ya vijijini hata nguvu unakuwa nayo ndogo, ujasiri unapungu, unakumbuka Magufuli alipoingia madarakani alikuwa anafanya ziara mikoa gani? si unakumbuka kimara walibomolewa nyumba zao kisa upanuzi wa bara bara vipi kule mwanza kwenye upanuzi wa kiwanja cha ndege alisema wapiga kura wake
Huo ni uongo hafifu,

Huwezi kuwakomoa wapiga kura baada ya Uchaguzi.

Muhimu vyama vya upinzani vifuke pia huko mashinani chini kabisa,
 
Wana hofu mkuu, wakisema waache sanduku la kura liamue asubuhi kweupe wanaachia ikulu
Hili Mimi nalipinga.

Enzi za Kikwete palikuwa na Uchaguzi huru hapo Kwa uchache,

Kuna maeneo upinzani hawakuweka wagombea wenye ushawishi hivyo kushindwa kihalali.

CCM iache HOFU, ibadilike kabla ya kulazimishwa kubadilika.
 
vipi ucha uchaguzi wa 2015, wale vijana wa It waliokamatwa na vitendea kazi vyao vikanyang'anywa, huku vijana wa CCM chini ya Makamba wakiachwa waendelee kuchakachua, mbona unasahau mapema mkuu, kesi za wapinzani mahamani umesahau yale ya tabora mahakama ikafuta matokeo?
 
Unaweza kuwa sahihi Kwa upande mmoja,

Lakini Kwa upande mwingine hauko sahihi,

Jimbo la Luhaga mpina, unaanzaje kulichukua?
Hakuna uchaguzi ambao chama flani kinashinda majimbo yote isipokuwa kuna wakati ni lazima tuseme ukweli hawa nyinyi akina Jecha ni tatizo Sana .
 
vipi ucha uchaguzi wa 2015, wale vijana wa It waliokamatwa na vitendea kazi vyao vikanyang'anywa, huku vijana wa CCM chini ya Makamba wakiachwa waendelee kuchakachua, mbona unasahau mapema mkuu, kesi za wapinzani mahamani umesahau yale ya tabora mahakama ikafuta matokeo?
Nakumbuka yote,

Nachotaka ukubaliane nami kuwa, upinzani Bado hawana mizizi mashinani,

Hivyo Si Rahisi kushinda uchaguzi ghafula,

Maandalizi na uwekezaji Bado unahitajika,

Hivyo pamoja na mabadiliko yakifanyika, tukapata Tume huru ya Uchaguzi, Bado Si Rahisi CCM kushindwa vita ya uchaguzi.

CCM ichukue HOJA hii haraka na kuifanyia KAZI.
 
Hakuna uchaguzi ambao chama flani kinashinda majimbo yote isipokuwa kuna wakati ni lazima tuseme ukweli hawa nyinyi akina Jecha ni tatizo Sana .
Hawa ninyi akina Jecha unamaanisha nn, sijaelewa.
 
Back
Top Bottom