Elezea sasa imekuaje au na ww hujuiKuna kitu kinaitwa SPHERE OF INFLUENCE na kama hujasoma HISTORY 2 A LEVEL hata vitabu vinavyohusu HISTORY OF THE WORLD'S CONFLICT AND ITS IMPACTS ni ngumu kujua kinachotokea sasa.
Ulisoma History 2 A Level au ulitaga mpakani?Elezea sasa imekuaje au na ww hujui
Kwani amesema kasema masomo ya sanaa high level?Ulisoma History 2 A Level au ulitaga mpakani?
Mimi nimesoma sayansiKwani amesema kasema masomo ya sanaa high level?
Ndio atuelezee mimi naelewa wapi?History A level wanafundisha mambo ya Pakistan?
Sasa mbona ulimuuliza kama alisoma masomo ya history na huku humjui?Mimi nimesoma sayansi
Swali chokozi na wewe kwanini umeniuliza na huku haunijui?Sasa mbona ulimuuliza kama alisoma masomo ya history na huku humjui?
Pakistan ni rafiki mkubwa wa Marekani na Uingereza, hata maafisa na wakuu wa jeshi lao husomea na kupata mafunzo US na UK.Nyuma ya panzia pakistan analindwa na uchina,urusi na n.korea juu ya umiliki wake wa ayo mabomu na lengo lake kuu nikupambana na jilani yake,ndugu yake na adui yake mkuu ambae ni india pia kumbuka india nae anamiliki iyo mibomu kwa usaidiz wa uk,usa ili apambane na aswaa na pakistan