Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
dahHivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
dahHivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
Kabla ya 1968 kila nchi yenye uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia ilikuwa inaruhusiwa, baada ya hapo Dunia ilipiga marufuku kwa nchi zisizo na silaha hizo kutengeneza na zile zilizonazo kupunguza uzalishaji. Lengo likiwa ni kupunguza hatari ya vita vya nyuklia.Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
Dunia au Marekani ndio walipiga marufuku nchi nyingine kumiliki silaha za nuclear?Kabla ya 1968 kila nchi yenye uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia ilikuwa inaruhusiwa, baada ya hapo Dunia ilipiga marufuku kwa nchi zisizo na silaha hizo kutengeneza na zile zilizonazo kupunguza uzalishaji. Lengo likiwa ni kupunguza hatari ya vita vya nyuklia.
Baada ya treaty hiyo ni South Africa pekee waliamua kwa hiari Yao wenyewe kuharibu mitambo Yao ya silaha za nyulkia, na ni wao tu pekee barani Afrika walikuwa wanamiliki silaha za nyuklia, kwa sasa hakuna nchi yoyote Afrika inamiliki silaha za nyuklia.
Kuna treaty ambayo Pakistan hawakusaini. Ndiyo maana waliweza kukamisha mpango wao wa nyuklia. Ni Dunia na si Marekani.Dunia au Marekani ndio walipiga marufuku nchi nyingine kumiliki silaha za nuclear?
Fikiria maswali yote yangekuwa yanajibiwa kwa style yako. Maisha yangekuwa na ladha gani?Ulisoma History 2 A Level au ulitaga mpakani?
Unaposema dunia unamaanisha nini?Kuna treaty ambayo Pakistan hawakusaini. Ndiyo maana waliweza kukamisha mpango wao wa nyuklia. Ni Dunia na si Marekani.
Pole nilikuwa naandika nikijua una D 2.Unaposema dunia unamaanisha nini?
Ninavyojua hakuna kitu kinachoitwa Dunia kwa ajili ya kufanya maamuzi ya dunia.
Usalama wa dunia upoje Marekani akiwa superpower ?Pakistan ana ushirika mzuri na Marekani na wadau wa Ulaya. Ndiyo maana ameruhusiwa kuwa nayo, hata Marekani wana Military base pale kwao.. Hata hivyo viongozi wake hawana mihemko sana hivyo madhara yao ya kuwa na nyuklia yanavumilika. You can imagine Umpe nyuklia nchi kama Yemen..usalama wa dunia ni muhimu sana
Sawa.Fikiria maswali yote yangekuwa yanajibiwa kwa style yako. Maisha yangekuwa na ladha gani?
Yes kauli za kiduanzi ndo tatizo.Timing tu alafu hutakiwi kuwa na kauli chafu chafu hata kama una roho mbaya
Watuna vituko sana, sasa hapo habari za hekima na akili zinatoka wapi ?Sawa.
Wewe una hekima na akili.
Mimi sina?.
Happy To hear that?
Kingine kila mtu yupo huru kuuliza anavyoona kwa namna yake kwa hio tusipangiane namna ya kuuliza wewe una namna yako ya kuuliza na mimi nina namna yangu ya kuuliza, angeniuliza niliemuuliza ningempa jibu sahihi zaidi.
Ndio maana nimeandika hapo ili uni-quote mkuu na km unaona nakosea ni jukumu lako kunisahihisha na kunionyesha kiungwana kwamba hapa ndugu umekosea hukustahiri kufanya hivi au kuandika ila ulistahiri kufanya hivi au kuandika hivi au ulivyouliza hivi sio sahihi kwa mimi ninavyoona ungeuliza hivi, simple au wewe unaonaje hapo? Are we good?Watuna vituko sana, sasa hapo habari za hekima na akili zinatoka wapi ?
Hili ni jukwaa huru ukishaweka comment yako hadharani itakuwa reacted na yeyote mwenye interest
US ilijua ila iliamua kufunga macho ukizingatia Pakistan alikuwa mshirika muhimu kule Afghanistan kwenye vita dhidi ya USSR.Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?