YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Tatizo la Pakistan ni kiwa ukienda passport yako
tatizo ukienda Pakistan passport yako kupata visa kwenda Marekani na Ulaya inakuwa Shida.Toka Osama bin Laden akutwe kwao kwao imekuwa issue kubwa.Ndio maana wengi wana avoid sana Pakistan kuogopa passport zao kuwa blacklisted nchi za magharibi na marekaniUmemaliza mkuu yaani jamaa wana bidhaa nzuri sana sema hawatajwi kabisa