Pakistan wapeleka miss, nimejiuliza sana ni unafiki AU

Kobazi ngumbaru maamuma wa mtogole, yombo vituka, nyakanazi, machame, nangurukuru, muhambwe, ilongero tukiwaambia ukobazi unamalizwa kwa makobazi yenyewe nyie achaneni na upuuzi huo wanakuwa wakali hasa kobazi wa humu. Ona sasa pakistan inaachana sharia kali za kiislam
 
Meza unayojaribu Kutingisha ina vinywaji vya gharama sana Kiongozi.
 
Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
Huijui Pakistan wewe,Pakistan ni moja ya nchi ambayo haina hata sheria kali za kidini ingawa kama zilivyo nchi nyingine za kiislamu kuwa na mfumo wa Sharia Pakistani pia ina Sharia law lkn si kali kama zile zilizopo Saudi Arabia,Afghanistan na Iran..Sheria zao ni zile kama zilizo katuka nchi zote za kiislamu kama kunywa pombe,wizi,kuzini nk lkn jinsi zinavyochukuliwa sio kama Iran au Saudi Arabia..Mfano Pombe pakistan zinauzwa na hakuna zile adhabu za kuchinjana sijui kisa hujavaa Hijab kama huko kwingine..Na kitu ambacho unatakiwa ujue Pakistan sio waarabu hivyo baadhi ya tamaduni za kiarabu hawazifuati
 
Unaifahamu vizuri PAKISTAN mkuu? Rudi kaisome achana na vijiwe vya kahawa vinakupotosha Rudi kaisome umenisikia
 
Siku si nyingi Basata ilimpiga faini milioni tatu muimbaji Nandy kuwa vazi lake halikuwa la staha
Sasa subiri miss World ya mwakani itakayofanyika nchini tuone Basata watafanyaje.
 
Unaifahamu vizuri PAKISTAN mkuu? Rudi kaisome achana na vijiwe vya kahawa vinakupotosha Rudi kaisome umenisikia
Wewe Endelea na habari za Instagram za kina Lokole tu,vitu vigumu kama hivi achana navyo mimi nimefika Lahore Pakistan nimekaa mwezi mzima nikishughulikia mwili wa marehemu mdogo wangu 2010 sihadithiwi,nimefika Misri,nimefika Saudi Arabia usidhani unaongea na mtu wa vijiwe vya kahawa humu..Katika nchi zote nilizozitaja hapo Pakistan na Misri ni nchi zenye sheria nafuu (sipati neno sahihi la kuliweka) kuliko Saudi Arabia
 
Dah mkuu samahan sana kumbe mambo ya Taliban, sijui wanawake wana njia zao na wanaume njia zao kumbe ni stori tu, inshu haiko hivo
 
Ndio maana nikakwambia huna unachojua bwana Alexido wewe endelea na kina Diamond na wengine tu wa Instagram..Unaposemea wewe ni Afghanistan ndio nchi yenye taleban na masharti magumu ya Uislamu na sio Pakistan
 
🙏🙏🙏🙏💪💪 Sawa kaka Asante sana
 
Kobazi ngumbaru maamuma wa mtogole, yombo vituka, nyakanazi, machame, nangurukuru, muhambwe, ilongero tukiwaambia ukobazi unamalizwa kwa makobazi yenyewe nyie achaneni na upuuzi huo wanakuwa wakali hasa kobazi wa humu. Ona sasa pakistan inaachana sharia kali za kiislam
Sheria kali za ukobazi kwa ulimwengu wa sasa ni upuuzi.
 
Ukristo, uislam, uyahudi nk nk siyo original dini za mwafrika!
Tumelishwa matango na yametulevya!
 
Huijui Pakistan wewe,Pakistan ni moja ya nchi ambayo haina hata sheria kali za kidini ingawa kama zilivyo nchi nyingine za kiislamu kuwa na mfumo wa Sharia Pakistani pia ina Sharia law lkn si kali kama zile zilizopo Saudi Arabia,Afghanistan na Iran..Sheria zao ni zile kama zilizo katuka nchi zote za kiislamu kama kunywa pombe,wizi,kuzini nk lkn jinsi zinavyochukuliwa sio kama Iran au Saudi Arabia..Mfano Pombe pakistan zinauzwa na hakuna zile adhabu za kuchinjana sijui kisa hujavaa Hijab kama huko kwingine..Na kitu ambacho unatakiwa ujue Pakistan sio waarabu hivyo baadhi ya tamaduni za kiarabu hawazifuati
Yes Mimi pia nimewahi fika Cairo hakuna kubanwa banwa sana mpaka beach unakuta mwarabu wa misri kajivalia atakavyo! Same as Turkey, Tunisia, Morocco. Japo Turkey, Tunisia na Morocco sijawahi fika.
 
Kwanza Cairo unaweza ukatembea mji mzima usikute mtu kavaa kanzu hata mmoja au wanawake kujifunika mahijabu makubwamakubwa yale.Nchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada,Saudi Arabia moderate strict na Iran
 
Back
Top Bottom