Pakistan wapeleka miss, nimejiuliza sana ni unafiki AU

Pakistan wapeleka miss, nimejiuliza sana ni unafiki AU

Nchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada
Hata mimi nilihisi hivyo maana ukiizungumzia Pakistan ni sawa unaizungumzia India hawa ni mahasimu wawili km ilivyo M23 na Tshekedi, huyu kachanganya na Afghanistan akahisi ndio Pakistan
 
Kwanza Cairo unaweza ukatembea mji mzima usikute mtu kavaa kanzu hata mmoja au wanawake kujifunika mahijabu makubwamakubwa yale.Nchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada,Saudi Arabia moderate strict na Iran
True
 
Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
Pakistan sio inchi inayoongozwa na sheria za kiislam..
Ila ni inchi yenye waislam 80%
 
Ni hatua za mwanzo kusambaratika kwa uislam katika madola ya kiislam
Pakistan kuna christians na Hindu pia,sio inchi ya kidini..
Wala hawafati sheria za dini ya kiislam kwenye katiba yao..
Kvp wasambaratishe uislam?
 
Kama ilivyo Kuna mabadiliko ya sayansi na teknolojia vile vile Kuna mabadiliko hata kwa zile traditional conservative country au hata family zilizokuwa zikishikilia dini na kuzifanya kuwa miongozo ya maisha yao ya kila siku, wengi wameanza kulegeza au kuacha kufuata zile taratibu kali za kidini na kuanza kuingia kwenye vitu ambavyo hapo awali ilikuwa ngumu kuona wakifanya hivyo
 
Pakistan kuna christians na Hindu pia,sio inchi ya kidini..
Wala hawafati sheria za dini ya kiislam kwenye katiba yao..
Kvp wasambaratishe uislam?
safi sana, kuna mapastari wa kipakistan walikuja nchini kuhubiri injili
 
safi sana, kuna mapastari wa kipakistan walikuja nchini kuhubiri injili
Kuna watu wanaropoka bila kufanya tathmini ya jambo.
Pakistan kuna hadi mashoga mitaani na hawafanywi chochote itakuwa kushiriki miss world?
Wale hawana uslam wowote zaidi ya umafia..
 
Kama ilivyo Kuna mabadiliko ya sayansi na teknolojia vile vile Kuna mabadiliko hata kwa zile traditional conservative country au hata family zilizokuwa zikishikilia dini na kuzifanya kuwa miongozo ya maisha yao ya kila siku, wengi wameanza kulegeza au kuacha kufuata zile taratibu kali za kidini na kuanza kuingia kwenye vitu ambavyo hapo awali ilikuwa ngumu kuona wakifanya hivyo
Nipo Pakistan mwaka 2000 bado kuna mashoga kibao,
Hakuna cha utandawazi wala chochote,,
Pakistan sio inchi ya kiislam.,,wala hawafati dini ktk katiba yao.
 
IMG-20261003-WA8918.jpg
 
Kaka kwani we una maisha mkuu? Navo jua mimi wabongo wengi ni masikini
Umaskini si jambo la kujivunia , ni kuhakikisha unavunja minyororo hiyo ukipata fursa usiichezee hivyo tu. Na maisha ni kuweza kujimudu mahitaji bila kukoromewa na yeyote na umaskin wa bongo chanzo kikuu ni mfumo wa kutowajali raia na kuwapa fursa
 
Safi
 
Back
Top Bottom