AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hata mimi nilihisi hivyo maana ukiizungumzia Pakistan ni sawa unaizungumzia India hawa ni mahasimu wawili km ilivyo M23 na Tshekedi, huyu kachanganya na Afghanistan akahisi ndio PakistanNchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada
TrueKwanza Cairo unaweza ukatembea mji mzima usikute mtu kavaa kanzu hata mmoja au wanawake kujifunika mahijabu makubwamakubwa yale.Nchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada,Saudi Arabia moderate strict na Iran
Pakistan sio inchi inayoongozwa na sheria za kiislam..Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
Pakistan kuna christians na Hindu pia,sio inchi ya kidini..Ni hatua za mwanzo kusambaratika kwa uislam katika madola ya kiislam
safi sana, kuna mapastari wa kipakistan walikuja nchini kuhubiri injiliPakistan kuna christians na Hindu pia,sio inchi ya kidini..
Wala hawafati sheria za dini ya kiislam kwenye katiba yao..
Kvp wasambaratishe uislam?
Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
Kuna watu wanaropoka bila kufanya tathmini ya jambo.safi sana, kuna mapastari wa kipakistan walikuja nchini kuhubiri injili
Usiaminibkila unachosikia uliwahi fika pakistan au unasikia story za white washed brainJamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
Nipo Pakistan mwaka 2000 bado kuna mashoga kibao,Kama ilivyo Kuna mabadiliko ya sayansi na teknolojia vile vile Kuna mabadiliko hata kwa zile traditional conservative country au hata family zilizokuwa zikishikilia dini na kuzifanya kuwa miongozo ya maisha yao ya kila siku, wengi wameanza kulegeza au kuacha kufuata zile taratibu kali za kidini na kuanza kuingia kwenye vitu ambavyo hapo awali ilikuwa ngumu kuona wakifanya hivyo
Hii ni habari njema sanaNi hatua za mwanzo kusambaratika kwa uislam katika madola ya kiislam
Sasa mkuu haya sijawahi fikaUsiaminibkila unachosikia uliwahi fika pakistan au unasikia story za white washed brain
Jitahidini kutembea hata pale kabul ukifika mambo ni tofauti na unayoyasikiaSasa mkuu haya sijawahi fika
Sasa mkuu tyjitahidi kutembea na hatuna nauli sa taenda kwa miguu?Jitahidini kutembea hata pale kabul ukifika mambo ni tofauti na unayoyasikia
Tafuta fursa tujitaidi kutojifungia kwenye kaboksi mama tanganyikaSasa mkuu tyjitahidi kutembea na hatuna nauli sa taenda kwa miguu?
Kaka kwani we una maisha mkuu? Navo jua mimi wabongo wengi ni masikiniTafuta fursa tujitaidi kutojifungia kwenye kaboksi mama tanganyika
Umaskini si jambo la kujivunia , ni kuhakikisha unavunja minyororo hiyo ukipata fursa usiichezee hivyo tu. Na maisha ni kuweza kujimudu mahitaji bila kukoromewa na yeyote na umaskin wa bongo chanzo kikuu ni mfumo wa kutowajali raia na kuwapa fursaKaka kwani we una maisha mkuu? Navo jua mimi wabongo wengi ni masikini
SafiUmaskini si jambo la kujivunia , ni kuhakikisha unavunja minyororo hiyo ukipata fursa usiichezee hivyo tu. Na maisha ni kuweza kujimudu mahitaji bila kukoromewa na yeyote na umaskin wa bongo chanzo kikuu ni mfumo wa kutowajali raia na kuwapa fursa