Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

We kiazi MTU asiyekukosoa ndiyo rafiki wakweli???alafu unaezakuta umesoma mpaka lasaba bado unawaza kama mtoto wa lapili
 
Hao pia ndo maadui wa taifa kwenye huu ulimwengu wa kidijitali .wasomi wajinga ambao hawajawahi tokea Tanzania.

Mama anawachabo,afu wewe unakurupuka kuja na utoporo wako kuwachongea.ungejua hawataki hats kutajwatajwa kwenye ulimwengu wa DIGITAL
 
Je, ipo dhambi?
 
Kabudi, Bashiru na Polepole wote wanapumulia mashine kwa kukoswa koswa na panga la Samia!
Hebu acheni ujinga, kwani hakuna maisha nje ya uteuzi😡!?
 
Akifuatiwa na haramia mwingine Bashite. You have nailed it chief.

Hiyo ilikuwa timu kamili:

Mzee baba, Sabaya na kondakta.

Kwanini watu wasipotee? Kwa nini dhuluma zisitamalaki? Kwa vipi watu wasipatikane kwenye viroba? Nk nk?
 
Wamseme kwa kosa lipi?

daah, hii ndio Bongo ya watu wanafiki na ujinga mwingiii...!!
 
Mungu fundi sana hakukosea kumuondoa mchato
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Pole SANA kwa kumuotea ndoto, mzee wa msg za UMEAPA VIZURI.😂

Mwendazake alishamtia Gundu, alisema hawezi kuwa raisi.

Amalizie uPM, apishe wengine wale cake ya taifa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 

..Joseph Warioba akiwa AG alim-face Mwalimu Nyerere kwasababu Mwalimu aliteua RC aliyehukumiwa na mahakama ya rufaa kutoshiriki siasa kwa miaka 10.

..Warioba hakufanikiwa kumshawishi Mwalimu kutengua uteuzi aliokuwa ameufanya.

..Kwasababu hiyo Warioba akaenda kwa Waziri Mkuu Edward Sokoine kumueleza " mgogoro " wake na Rais Mwalimu Nyerere.

..Sokoine naye akamfuata Mwalimu Nyerere kumuelezea suala lilelile aliloelezwa na Warioba. Matokeo yake Mwalimu Nyerere akatengua uteuzi wa RC.

..Raisi ni BINADAMU na anaweza kukosea. Hivyo ni muhimu awe na wasaidizi wenye MAADILI wanaoweza kumpa ushauri mzuri wenye manufaa kwa taifa.
 
Na hata wewe huwezi kutabiri ya kwako!
 
Mkuu kwanza kabisa Ahsante kwa kunifahamisha hilo, ulichosema ni sahihi. Lakini sidhani kama John alikuwa anashaurika
 
Unadhan jalalan kuzur?????
 
Kabudi, Bashiru na Polepole wote wanapumulia mashine kwa kukoswa koswa na panga la Samia!
Mungu yuko upande wao, ni wachapa kazi wa kweli na wazalendo wa kweli. Ni majembe ya mama! Mama anajivunia majembe haya. Mama tunza hayo majembe na hayatakuangusha
 


Aendelee kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli 🙏
 
Nan????Huyu alieudanganya umma ndani ya nyumba ya ibada???????
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
 
Wimbo wao wa mabeberu hawana pa kuuimbia tena,wamebaki na aaibu zao tu kwa ujinga na unafiki wao
 
Thubutu!!!!na ule ubunge wa dezo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…