gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Katiba mpya nayo siyo agenda kwa sasa kwa sababu mchakato ulishakamilika imebaki kupigia kuraNdo kashaondoka ..hawezi kurudi tena yupo na hao aliowatanguliza kina Ben.
ok kwa hawa mabwana wawili hawana namna tena!! ile falsaha yao ya kubumba ya mabeberu haipo tena, habari ya town sasa ni Katiba mpya!!
Wajirudi tu hawana jinsi, Maisha yanakwenda kwa kasi sana...nani angelitabiri haya miezi 5 iliyopita??