Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.
Hao ni watu wasiojulikana,"Ufalme ukifitinika huo sio ufalme" shetani hawezi jipinga hata siku moja hivyo kutokukosoa kwao ni kjutia maamuzi ya kuteka,kupora na kuua watu.
 
Wewe ndio huyo iblis unayemtaja mbaya zaidi ya Hitler. Maneno yako ni kama tone la sukari kwenye bahari
Relax ukiju JPM ataendelea kubaki juu kama shujaa, Rais wa karne kwa dunia hii
Shujaa wa wapumbavu na wajinga kama wewe.
 
Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.

Hao waliokuwa mitume wa yule dhalimu, hivyo ni haki yao kukaa kimya maana walishiriki na kupongeza uovu wake wote.
 
Asilimia 16% wapumbavu wenzio ndio mnaoteseka huku kwenye mitandao wakati 84% kila siku wanamkumbuka kwa wema

JPM atabaki kuwa juu, hutaki hama nchi😂😂😂😂😂

Nani anamkumbuka mtu muovu?
 
...,Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Majaliwa is the worst, anakwenda na upepo kama bendera.

Majuzi katika moja ya ziara zake kwenye taasisi, aliwaambia watumishi kwamba moja ya jukumu lao muhimu ni kuelewa falsafa ya Rais.

Cheap, unprincipled, worthless leader.
 
Unataka mpk ww ujue????hata Hitler anatajwa kila kukicha co hvyo hata iblis pia hutajwa kila kukicha
katika maisha yako hakikisha unaacha alama.

hakuna mtu aliyeacha alama huku akiwa na upande mzuri peke yake,hata Yesu mwenyewe story ni tofauti kwa wayahudi.

ukikaa unawaza utaudhi watu,utakufa kama kikuku,tusijue hata uliwahi kuwa nani.
 
Nani anamkumbuka mtu muovu?
mwenyewe unahaha hapo kila kukicha unaweweseka,halafu hutaki kukubali.

nguvu unazotumia kuelezea watu uovu wa jpm,ni wazi zina ukinzani kwenye moyo wako na ile kazi aliyokufanyia.
 
..ni marafiki wabaya.
..walimsifia magufuli kila wakati.
..hawakumwambia ukweli, wala kumrekebisha.
Na wewe unaendeleza unafiki.
👇🏾
Naomba nijue ofisi yako alafu nikwambie maovu ya bosi wako then nenda kwa podium, kadamnasi kaongee maovu yake.
 
Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.
Tumeambiwa kusimwite Mwendazake bali Mwenzakuzimu au tukipenda basi tumwite Hamnazo kwa sauti ya TBC1
 
mwenyewe unahaha hapo kila kukicha unaweweseka,halafu hutaki kukubali.

nguvu unazotumia kuelezea watu uovu wa jpm,ni wazi zina ukinzani kwenye moyo wako na ile kazi aliyokufanyia.
Nionyeshe kazi yoyote aliyofanya kwa hela yake. Kama ni reli hata wakoloni walijenga na bado tuliwakataa, itakuwa yule muovu pori.
 
Nionyeshe kazi yoyote aliyofanya kwa hela yake. Kama ni reli hata wakoloni walijenga na bado tuliwakataa, itakuwa yule muovu pori.
unawashwa wewe,kwahiyo mnapokatikaga viuno kwamba chadema italeta hiki na kile,huwa mnawaza pesa mtatoa kwenye wallet za shangazi zenu!!!

kwa hiyo nyinyi hata ofisi mmeshindwa kujenga kwa hela zipi??
 
unawashwa wewe,kwahiyo mnapokatikaga viuno kwamba chadema italeta hiki na kile,huwa mnawaza pesa mtatoa kwenye wallet za shangazi zenu!!!

kwa hiyo nyinyi hata ofisi mmeshindwa kujenga kwa hela zipi??

Naona umeshapanick unalazimisha kuja na kanga moja huku guest.
 
Kuna wakati hata Mdee alimpongeza JpM. Au nasema uongo jamani.
Namkubali sana huyu huwa na hoja nzito, sasa hivi kuna watu wanamhujumu tu, ili awe amekuwa sikolojikali jaijekidi. Ila ni Mwamba
 
nakubali umejibu kwa hoja,ndio nataka uitetee.

kama hakuna mradi alioufanya kwa hela zake,inabidi useme chadema huwa wanaahidi yote kwa kuyegemea pesa za shangazi zao au laah.

maana wao hata kwa pesa za kupewa ofisi zimewashinda kujenga,badala ya kujikita kuwatetea,naona matangazo ya kinyeo chako tu hapa.

Nasema hivi, ulipoanza kulazimisha mabasha kinguvu hapa jukwaani, hukujua kama utaweza kujibiwa kwa hoja?
 
Back
Top Bottom