gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Katiba mpya nayo siyo agenda kwa sasa kwa sababu mchakato ulishakamilika imebaki kupigia kuraNdo kashaondoka ..hawezi kurudi tena yupo na hao aliowatanguliza kina Ben.
ok kwa hawa mabwana wawili hawana namna tena!! ile falsaha yao ya kubumba ya mabeberu haipo tena, habari ya town sasa ni Katiba mpya!!
Wajirudi tu hawana jinsi, Maisha yanakwenda kwa kasi sana...nani angelitabiri haya miezi 5 iliyopita??
Majaliwa ni mbwa mwitu mkali.Hatuwezi kuwa na rais kama yule.CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Tutaanzia tulipoishia ndugu.Katiba mpya nayo siyo agenda kwa sasa kwa sababu mchakato ulishakamilika imebaki kupigia kura
Nadhani ni kwakuwa aliwaokota jalalani.Huo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Mdanganyifu alijiharibia sifa aliposema kiongozi yupo ofisini anachapa kazi kumbe anaumwaMajaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Hao ni kunguni wa dhalimHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Aliwatoa jalalaniHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Tena leo ukome kama Magufuri alivyokoma urais 17.03.2021 na ujinga wake.Asilimia 16% wapumbavu wenzio ndio mnaoteseka huku kwenye mitandao wakati 84% kila siku wanamkumbuka kwa wema
JPM atabaki kuwa juu, hutaki hama nchi😂😂😂😂😂
Safi sana waelimishe hao wajinga.Nionyeshe kazi yoyote aliyofanya kwa hela yake. Kama ni reli hata wakoloni walijenga na bado tuliwakataa, itakuwa yule muovu pori.
Kiongozi anapaswa kuwa na kifua, sio kila jambo lianikwe tu hadhari. Ndio maana baada ya Mambo mengine kukaa sawa walitangaza.Mdanganyifu alijiharibia sifa aliposema kiongozi yupo ofisini anachapa kazi kumbe anaumwa
Tena leo ukome kama Magufuri alivyokoma urais 17.03.2021 na ujinga wake.
SIO marafiki , hawa walikuwa NDIO MHESHIMIWA , NDIO MHESHIMIWAHuo ndiyo ukweli.
Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.
Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.
Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.
RiP JPM.
Ya zamani unaijua?Mwarobaini wa aya yote ni katiba mpya tu
Ataambiwa kama walivyoambiwa Lukuvi na Kabudi na MwendazakeCCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Kiongozi anapaswa kuwa na kifua, sio kila jambo lianikwe tu hadhari. Ndio maana baada ya Mambo mengine kukaa sawa walitangaza.
kiasi naijua, ila matokea(results) zake nayajua asilimia zote na ndo kikwazo cha tz kutokupata maendeleoYa zamani unaijua?
Asilimia 16% wapumbavu wenzio ndio mnaoteseka huku kwenye mitandao wakati 84% kila siku wanamkumbuka kwa wema
JPM atabaki kuwa juu, hutaki hama nchií ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
atabaki kuwa juu? juu wapi?Asilimia 16% wapumbavu wenzio ndio mnaoteseka huku kwenye mitandao wakati 84% kila siku wanamkumbuka kwa wema
JPM atabaki kuwa juu, hutaki hama nchií ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Aliwaokota MajalalaniHuo ndiyo ukweli.