Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.
Walidhani Magufuli alikuwa Mungu.

Sasa hivi taratibu wanasukumwa nje ya mfumo safarini kwenda kibla. Hadhi ya uanazuoni kwishnei !
 
Huo ndiyo ukweli.

Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki.

Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi.

Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM.

RiP JPM.
Mwana ccm sio wa kumwamini
 
hata mama akimaliza mda wake asubirie watu wamgeuke tu
 
Back
Top Bottom