GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilisikia kuna Taifa Moja Afrika Mashariki jirani pia na Congo DR liliahidi kuisaidia Congo DR Kijeshi ila cha Kushangaza wamesitisha Uamuzi huo baada ya kugundua kuwa ukimgusa Rwanda jua umeigusa pia na Nduguye Uganda hivyo uwezekano wa kupata Kichapo Kitakatifu ni mkubwa ukizingatia 65% ya Askari wao huwakosi katika Vilinge vya Gongo, Baa na Kubeti hovyo.
Hongera sana Mgeni kwa kuomba kwa sasa msikurupuke kupeleka Majeshi yako Kumsaidia Rais wa Congo DR kwani mngeagiza sana Majeneza ya Kuwahifadhia huku mkipata Kazi ya ziada ya Kuwafariji Ndugu zao.
Mgeni kwa hili nimeanza Kukukubali na nakuomba usikae muda mrefu kabla ya kwenda nchini Rwanda ukajifunze ni kwanini Jeshi lao ni dogo ila ndilo Imara, Madhubuti na linaweza Kuwapiga bila wasiwasi Wapiganaji wako wanaodhani kuwa Ukubwa wao wa Kijiografia ndiyo 'justification' ya Kushinda Vita wakisahau kuwa Vita ni Akili nyingi, Mbinu za Kimkakati na Nguvu kidogo kama walizobarikiwa nazo Wanajeshi wa Rwanda (RDF) ambao Uwezo wao wa sasa unafananishwa na Jeshi la Israel (IDF)
Mkiambiwa Kagame ni Genius na Jemedari halisi wa Vita na hakuna Sisimizi wala Mende yoyote wa Kumtisha hapa Afrika (hadi huyo Mgeni wenu wa Majuzi) muwe mnaelewa na mnaamini sawa?
Rais wa Congo DR si alisema kuwa ataipiga Rwanda na kwamba kamwe hatofanya Mazungumzo nae yoyote yale? Sasa iweje sasa (leo) ameufyata Mwenyewe na kakubali kwenda Kuzungumza na Mwamba na Mwanamume Rais Kagame huko Luanda Angola?