Pale ambapo Tembo (Congo DR) anapoomba 'Suluhu' na Mende (Rwanda)

Pale ambapo Tembo (Congo DR) anapoomba 'Suluhu' na Mende (Rwanda)

Itatuchukua masaa sita ya kukusanya mgambo wa nchi nzima na kuwasogeza kigoma,kagera na wengine Burundi haraka sana tunatangaza vita na rwanda gafla bin vuu tunawaambia wahutu watulie akati bado vuguvugu halijapoa na jua bado ni kali tunaenda kivu kusini na kaskazini tukiwa na mizinga mizito, mda huo paulo anahaha haelewi nini kakosea kwa mkubwa gafla mgambo tunawapa masaa matatu waingie kigali kunywa chai na kumkamata Mr tolu.

Dunia ikistahajabu na haielewe nini kinaendelea tunamhukumu kifo bwana paulo hapo dodoma baada ya kumtamata akiwa mafichoni hapo gisenyi.
Hii filamu tuipe jina gani?🤣
 
Back
Top Bottom