Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Rwanda waliwahi kupigana vita na nchi gani wakashinda?
Huwezi kujisifia wewe ni mbabe kwa kupigana na nchi kama DRC.
DRC hawana jeshi zaidi ya vikundi vya wahuni vilivyojiunga pamoja na kuitwa jeshi la DRC.
Huruma ya jumuiya ya kimataifa dhidi ya Genocide ndio mpaka sasa inawasaidia wale jamaa.
Ukibaraka kwa mabeberu dhidi ya wizi wa madini ya DRC ndio unafanya kuwe na kile kiburi.