Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Uelewa wako wa mambo ya kimataifa ni mdogo sana pia hata kutumia akili kidogo tu nayo ni shida ingekuwa rahisi hivyo huyo msaliti Lissu angekuwa alishatumia njia hiyo siku nyingi. Subiri baada ya tarehe 28/10/2020 ndiyo utajua huyo msaliti alivyowadanganya na atarudi kwa mabwana zake huko Ubelgiji na kukuacha unapiga miayo tuu!!
 
Maalim Seif alishapita kote uko kwenye hizo jumuiya za kinataifa
,tena akiwa na nguvu na afya njema lakini wapi.yeye kachoka na Tanzania inazidi kunawiri.
uchaguzi utafanyika na mtu akivunja sheria anaadabishwa vizuri tu.
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Umesoma kilichoandikwa au umekurupuka tu?
 
Maalim Seif alishapita kote uko kwenye hizo jumuiya za kinataifa
,tena akiwa na nguvu na afya njema lakini wapi.yeye kachoka na Tanzania inazidi kunawiri.
uchaguzi utafanyika na mtu akivunja sheria anaadabishwa vizuri tu.
Akili mgando, inawaza 10 years ago.
 
Akili mgando, inawaza 10 years ago.
10 yrs ago azikuwepo jumuiya za kimataifa ila baada ya Lissu kugombea urais ndo zimeanzishwa.
kaa usubiri watafanya nini hao jumuiya za kimataifa na kibano kipo palepale.ukivunja sheria za nchi ni kibano.
 
Mnajidanganya sana kama mnafikiri hii Dunia inajali achilia mbali hata kujua kama kuna Tanzania, watu wanafikiria corona lockdown na mwanguko wa chumi zao ninyi mnaleta utoto, kwa taarifa yako tu watu zaidi ya 150 000 (laki mja na nusu) hufa kila siku hapa Duniani, hata leo hii mpaka kufikia saa 23:59 watu > 150 000 watakuwa wamefariki, ...
Sasa ndio umeandika nini? Hivi Azory angekuwa ni mumeo ungeweza kuandika hivi? Kwamba unataka kutuaminisha hapa kuwa hujui Azory na wengineo wamekufa na kifo chao kimesababishwa na watu wasiojulikana? Unapata wapi nguvu ya kusema kuwa hujali? Wakati mwingine mabalaa tunajitakia wenyewe. Unaweza kushangaa michongo yako haiendi kila wakati na ni kutokana na tabia kama hizi. Kuna vitu vya kutetea na vingine kuvitetea ni kujitaftia laana na mikosi bure

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Mi siungi mkono, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu akitendewa mambo kama hayo, lakini kukimbilia kwa wazungu sio solution. Hao ni wabaya kuliko hiyo CCM
Hivi hili unalosema wazungu ni wabaya kuliko CCM umeongea kwa kutafakari au umezungumza tu?

Au kuna CCM nyingine mbali na hii?
 
Bro, unaona nini kinachotokea libya, Iraq, Afghanistan, walisema wanaenda kuwakomboa watu wananyanyaswa ma utawala leo watu wanwakumbuka hao vionhozi wao, na hata huko South Africa, ingia google halafu angalia anayemiliki south africa ni kina nani na watu weusi wanaishi vipi ndani ya nchi zao, hizo nyingi ni political stunts na kuonyesha dunia tuu lakini watu wanaangalia interests zao hawana mapenzi wala uchungu na sisi
Acha kuongea uongo jinga wewe. Siku itafika tu msiojulikana mtajulikana. Damu ya mtu haipotei bure. Hata sisimizi kuumba hamuwezi. Muuwe binadamu mwenzenu mjifanye ni jambo la kawaida? Subirini tu you will pay for what you have done. You will never get away with murder.
 
10 yrs ago azikuwepo jumuiya za kimataifa ila baada ya Lissu kugombea urais ndo zimeanzishwa.
kaa usubiri watafanya nini hao jumuiya za kimataifa na kibano kipo palepale.ukivunja sheria za nchi ni kibano.
Mbona kiongozi wako anavunja kila siku na hapati kibano.

This is a banana republic, it does not respect its own laws. Na safari hii wanakula sahani moja na nyie, na wameshaanza, stay tuned.
 
Yani kuna watu wakisha sikia mzungu basi wanapagawa sasa huyo bwana robert na ka law firm kake kweli atingishe sovereignty state kama tanzania, Kwanza huyo hata kumjibu hatumjibu
[/QUOTE
Twaweza; 60% ya watanzania wasio na elimu wanaipenda CCM. Nashaka na elimu yako
 
Mbona kiongozi wako anavunja kila siku na hapati kibano.

This is a banana republic, it does not respect its own laws. Na safari hii wanakula sahani moja na nyie, na wameshaanza, stay tuned.
tukutane baada ya October 2020 na hao viberenge wenu mnaowatumainia.
 
Acha kuongea uongo jinga wewe. Siku itafika tu msiojulikana mtajulikana. Damu ya mtu haipotei bure. Hata sisimizi kuumba hamuwezi. Muuwe binadamu mwenzenu mjifanye ni jambo la kawaida? Subirini tu you will pay for what you have done. You will never get away with murder.
Tukutane october, halafu tutaona kama wazungu watawapa nchi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hii itakamilika lini ili nikukumbushe tena hao wazungu wenu wamewaingiza chaka?
 
  • Thanks
Reactions: nao
tukutane baada ya October 2020 na hao viberenge wenu mnaowatumainia.
Jibu swali mbona jamaa yako haheshimu sheria za nchi?

Stay tuned, this time you will face the music maana hata Saddam alijua yeye ni mungu mtu lakini sasa hivi anapatikana kuzimu akiwa hoi.
 
Mpuuzi ni wewe unadhan hao unaowatetea ni wasafi sana kama unavyodhan pole kijana
Wewe ni mpuuzi unateteaje wahalifu wanaoua watu kwenye taifa letu, au na wewe ni mmoja wao?
 
Back
Top Bottom