Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Uelewa wako wa mambo ya kimataifa ni mdogo sana pia hata kutumia akili kidogo tu nayo ni shida ingekuwa rahisi hivyo huyo msaliti Lissu angekuwa alishatumia njia hiyo siku nyingi. Subiri baada ya tarehe 28/10/2020 ndiyo utajua huyo msaliti alivyowadanganya na atarudi kwa mabwana zake huko Ubelgiji na kukuacha unapiga miayo tuu!!
 
Maalim Seif alishapita kote uko kwenye hizo jumuiya za kinataifa
,tena akiwa na nguvu na afya njema lakini wapi.yeye kachoka na Tanzania inazidi kunawiri.
uchaguzi utafanyika na mtu akivunja sheria anaadabishwa vizuri tu.
 
Umesoma kilichoandikwa au umekurupuka tu?
 
Maalim Seif alishapita kote uko kwenye hizo jumuiya za kinataifa
,tena akiwa na nguvu na afya njema lakini wapi.yeye kachoka na Tanzania inazidi kunawiri.
uchaguzi utafanyika na mtu akivunja sheria anaadabishwa vizuri tu.
Akili mgando, inawaza 10 years ago.
 
Akili mgando, inawaza 10 years ago.
10 yrs ago azikuwepo jumuiya za kimataifa ila baada ya Lissu kugombea urais ndo zimeanzishwa.
kaa usubiri watafanya nini hao jumuiya za kimataifa na kibano kipo palepale.ukivunja sheria za nchi ni kibano.
 
Sasa ndio umeandika nini? Hivi Azory angekuwa ni mumeo ungeweza kuandika hivi? Kwamba unataka kutuaminisha hapa kuwa hujui Azory na wengineo wamekufa na kifo chao kimesababishwa na watu wasiojulikana? Unapata wapi nguvu ya kusema kuwa hujali? Wakati mwingine mabalaa tunajitakia wenyewe. Unaweza kushangaa michongo yako haiendi kila wakati na ni kutokana na tabia kama hizi. Kuna vitu vya kutetea na vingine kuvitetea ni kujitaftia laana na mikosi bure

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Mi siungi mkono, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu akitendewa mambo kama hayo, lakini kukimbilia kwa wazungu sio solution. Hao ni wabaya kuliko hiyo CCM
Hivi hili unalosema wazungu ni wabaya kuliko CCM umeongea kwa kutafakari au umezungumza tu?

Au kuna CCM nyingine mbali na hii?
 
Acha kuongea uongo jinga wewe. Siku itafika tu msiojulikana mtajulikana. Damu ya mtu haipotei bure. Hata sisimizi kuumba hamuwezi. Muuwe binadamu mwenzenu mjifanye ni jambo la kawaida? Subirini tu you will pay for what you have done. You will never get away with murder.
 
10 yrs ago azikuwepo jumuiya za kimataifa ila baada ya Lissu kugombea urais ndo zimeanzishwa.
kaa usubiri watafanya nini hao jumuiya za kimataifa na kibano kipo palepale.ukivunja sheria za nchi ni kibano.
Mbona kiongozi wako anavunja kila siku na hapati kibano.

This is a banana republic, it does not respect its own laws. Na safari hii wanakula sahani moja na nyie, na wameshaanza, stay tuned.
 
Mbona kiongozi wako anavunja kila siku na hapati kibano.

This is a banana republic, it does not respect its own laws. Na safari hii wanakula sahani moja na nyie, na wameshaanza, stay tuned.
tukutane baada ya October 2020 na hao viberenge wenu mnaowatumainia.
 
Tukutane october, halafu tutaona kama wazungu watawapa nchi.
 
Reactions: nao
Hii itakamilika lini ili nikukumbushe tena hao wazungu wenu wamewaingiza chaka?
 
Reactions: nao
tukutane baada ya October 2020 na hao viberenge wenu mnaowatumainia.
Jibu swali mbona jamaa yako haheshimu sheria za nchi?

Stay tuned, this time you will face the music maana hata Saddam alijua yeye ni mungu mtu lakini sasa hivi anapatikana kuzimu akiwa hoi.
 
Mpuuzi ni wewe unadhan hao unaowatetea ni wasafi sana kama unavyodhan pole kijana
Wewe ni mpuuzi unateteaje wahalifu wanaoua watu kwenye taifa letu, au na wewe ni mmoja wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…