NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sadam yupo kuzimu lakini Iraq apakaliki.wakina Lissu wa Iraq wamekimbilia Dubai.wanakula bata ng'ombe.Jibu swali mbona jamaa yako haheshimu sheria za nchi?
Stay tuned, this time you will face the music maana hata Saddam alijua yeye ni mungu mtu lakini sasa hivi anapatikana kuzimu akiwa hoi.
Acha kudanganya wenzako. Tl angekuja bila hako kabeberu tungeshamla kichwa.Let tell you something, mataifa makubwa hayana time na wewe wala hawajali democracy ya tanzania, wamaangalia maslahi yao hiyo ipo dunia nzima ukiona sehemu wanaforce kuja kuna kitu wanataka sio kwamba wanakupenda sana wewe, kuna nchi kibao zina matatizo kuliko tanzania, rwanda, congo ya kabila, sudani somalia huko middle east na kuna marais wapo madarakani zaidi ya mionho miwili, mbona hawaendi, white people and their nation don't give a fick about you or you democracy, wao wanaalinda interests zao tuu popote pale utakapowaona wapo, tutatue matatizo yetu wenyewe . Its a shame up to now kuna africans wanadhani kuan mtu mweupe atakuka kuwatoa kwenye matatizo yao, hiyo partnership ya lisu na hiyo law firm doesnt mean anything, only make lisu look stupid to voters
Tungetaka kumla kichwa tungemla tuu, na hao kabeberu kasingefanya chochote.Acha kudanganya wenzako. Tl angekuja bila hako kabeberu tungeshamla kichwa.
Kabeberu kamesaidia huo ndo ukweli. Na ndio kanatukwamisha sasa, ila dawa inatafutwa.Tungetaka kumla kichwa tungemla tuu, na hao kabeberu kasingefanya chochote.
siku uyo mtu mweupe akiamua kufunga misaada na mikopo yake yote ndipo ata ww utajua kuwa wanamsaada ama hawana....... ila kwa sasa unalala, unaamka, unasoma, unatibiwa, unavaa, unasafiri, unachatt ....... kibaya zaid upeo wako ndo umeishia hapo...... u can't fool all the people at all the time, a song by Bob marleyLet tell you something, mataifa makubwa hayana time na wewe wala hawajali democracy ya tanzania, wamaangalia maslahi yao hiyo ipo dunia nzima ukiona sehemu wanaforce kuja kuna kitu wanataka sio kwamba wanakupenda sana wewe, kuna nchi kibao zina matatizo kuliko tanzania, rwanda, congo ya kabila, sudani somalia huko middle east na kuna marais wapo madarakani zaidi ya mionho miwili, mbona hawaendi, white people and their nation don't give a fick about you or you democracy, wao wanaalinda interests zao tuu popote pale utakapowaona wapo, tutatue matatizo yetu wenyewe . Its a shame up to now kuna africans wanadhani kuan mtu mweupe atakuka kuwatoa kwenye matatizo yao, hiyo partnership ya lisu na hiyo law firm doesnt mean anything, only make lisu look stupid to voters
We upuuzi kweli we unadhani kama ungekua hakuna kitu cha ku offer au wao hawanufahiki na sisi wangekuwa wanajitoa hivyo, ndio maana magu kila siku anasema sisi ni nchi tajiri we need win-win situation, sio kulamba miguu yao, we depend on each other.siku uyo mtu mweupe akiamua kufunga misaada na mikopo yake yote ndipo ata ww utajua kuwa wanamsaada ama hawana....... ila kwa sasa unalala, unaamka, unasoma, unatibiwa, unavaa, unasafiri, unachatt ....... kibaya zaid upeo wako ndo umeishia hapo...... u can't fool all the people at all the time, a song by Bob marley
Wanajazana ujinga mkuu.Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
ataingia tuu kwenye 18, tutamalizana nae, traitors are dangerous than Enemies.Kabeberu kamesaidia huo ndo ukweli. Na ndio kanatukwamisha sasa, ila dawa inatafutwa.
Hebu tueleze ni ipi?Naibu Rais wa kenya Rutto, alipelekeshwa the Hague na law Firm ya wapi mpuuzi wewe?
Kwakua unaongelea mafichoni, uko sawa Boss.Tungetaka kumla kichwa tungemla tuu, na hao kabeberu kasingefanya chochote.
Snowden na Asange pia MkuuWachunguze na kutupatia matokeo ni nani aliyemuua yule mwandishi wa habari Kashogh wasipotezee wakadhani tumesahau
Taifa kubwa lililosumbuliwa na mkulima wa South Africa?Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Hata wewe upo mafichoni, tutakutana battle ground.Kwakua unaongelea mafichoni, uko sawa Boss.
Accacia wamekuja hapa wametubu, aibu kwa snicht lisu, magu mwamba mtanyooka,Taifa kubwa lililosumbuliwa na mkulima wa South Africa?
Taifa kubwa linalowaangukia wanaume wa Accacia?
Na kweli huyo Lisu anaonekana kama Kenge Manyoya tuu.Let tell you something, mataifa makubwa hayana time na wewe wala hawajali democracy ya tanzania, wamaangalia maslahi yao hiyo ipo dunia nzima ukiona sehemu wanaforce kuja kuna kitu wanataka sio kwamba wanakupenda sana wewe, kuna nchi kibao zina matatizo kuliko tanzania, rwanda, congo ya kabila, sudani somalia huko middle east na kuna marais wapo madarakani zaidi ya mionho miwili, mbona hawaendi, white people and their nation don't give a fick about you or you democracy, wao wanaalinda interests zao tuu popote pale utakapowaona wapo, tutatue matatizo yetu wenyewe . Its a shame up to now kuna africans wanadhani kuan mtu mweupe atakuka kuwatoa kwenye matatizo yao, hiyo partnership ya lisu na hiyo law firm doesnt mean anything, only make lisu look stupid to voters
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.
Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.
Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).
Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.
Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.
Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.
Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.