Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Hahahaha,,kalikosea njia kakatua kwenye mguu wangu,sasa lile wenge kakashindwa kuruka,nikashika na kuinjoi nako kwa mda then nkaacha kaende,, siwezi ogopa ndege wazuri ivo😊😊
Hahaa that's good Asee...Dada wengine wangekapiga na Mossimo 🤣
Hongera for loving nature as well Miss R
 
Hahaa that's good Asee...Dada wengine wangekapiga na Mossimo 🤣
Hongera for loving nature as well Miss R
But why mosimo😂😂🙌🏾,,kanavotia huruma maskini hadi kakate moto namim ntakua nmeanguka kwa presha
 
Okay, Mr gutter rat so hapo ni vibuyu v/s vibungo?
What made you name me gutter rat!?
Whatever ila mleta mada hakukusudia kama uonavyo wewe punguza hyper.
Kuna kundi la wanawake inawahusu hii mada sio wote.
 
Nilitolewa bk nikiwa na 14 yrs
Alienitoa alikuwa na 20 yrs
Mpaka leo tuko wote tunazeeka pamoja

Hv inakuwaje mpka mwanaume umkute binti bikira na usimuoe?
Tulioana miaka 6 baadae
 
But why mosimo😂😂🙌🏾,,kanavotia huruma maskini hadi kakate moto namim ntakua nmeanguka kwa presha
Why Mossimo! Cause its light shoes to slap someone with and ease to get off 🤣🤣🤣
Mimi mpaka nyumba nawajengea sasa hivi Nina mpango wa kuwawekea chakula na maji nikipata muda, maana huwa nanunua mkate ile bei chee nawawekea....kunguru na roho mbaya yake hata nyama namrushia 🤣🤣
 
Fair!
 
What made you name me gutter rat!?
Whatever ila mleta mada hakukusudia kama uonavyo wewe punguza hyper.
Kuna kundi la wanawake inawahusu hii mada sio wote.
Gutter rat ohhh sorry i erase thou now your chicken head roaster 😉
 
Sasa akifanya hvy c hy nyapu itachakazwa sana afu jamaa aje kula uchakavu
 
Mkuu sijamaliza hata kusoma,kabinti kangu kamoja tu ila wahuni wamekafagia kanalea mtoto wakati kenyewe katoto.
Hela yoote ya masomo binti kapanua paja kaliwa kimasihara.
Ila vidume vi4 vipo vinapotezea hiyo issue.
Huyu kenge gharama zote za huyu binti ziko kwenye daftari.
Ngoja tuonane hata kaburini atalipa mahari yangu.
 
Mi naelewa sana why all this! I can write a lot of words ila nimechagua kuacha na kujibu upuuzi kwa upuuzi.

Men need to relax, wajitafutie bikira dogodogo waoe watulie. Mbona simple?
 
Backbencher hapa, kabla hata ya kusoma mbio kukomenti nitasoma nikimaliza, iko hivi

Hao wapigania uhuru ni wa kuwachunia tu, waendelee kucheza mabonanza ya maveterani. Wakiwa wabichi huwa ni zaidi ya mateso kwetu tusio na mali.
 
Mi naelewa sana why all this! I can write a lot of words ila nimechagua kuacha na kujibu upuuzi kwa upuuzi.

Men need to relax, wajitafutie bikira dogodogo waoe watulie. Mbona simple?
Lazima kwanza wawanange ndio mambo mengine yaendelee, mliwatesa sana vijana wetu wakati wanajitafuta mkiwa ving'asti
 
Hakikisha umesomea utalii ili ukawalinde vizur,,au ue game ranger 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…