Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Hiki ndicho kilimfanya Jadda ajiunge JF kupata mume wa kumuoa baada ya kuchezewa sana

Ikashindikana kwa sasa hivi yuko humu kwenye ufeminism
Acha shobo we fala unapenda sana kujifariji kupitia mimi, wewe itakuwa umeanza kunifahamu juzi waulize wanaonifahamu humu, mimi tangu najiunga JF 2019 nimekuwa nikibishana na wanaume wapumbavu kama wewe kwenye hizi mada, tena kwa ID hii hii na misimamo yangu ni hii hii haijawahi badilika na haitakuja badilika, kwa wanaume gani hasa walioko JF, hadi nitoke huko kote nije kutafuta mwanaume humu, wanaume wenyewe ndio hasara kama wewe si bora hata nife nikiwa single
 
Mi basi ni tatizo, nimeanza kuwa feminist nikiwa almost 17-21 hadi leo. 😂😂😂

Kuonesha niko serious na hili jambo, nimefanya courses kibao za feminism na gender issues.

Anyways, nitaolewa na bado nitakuwa na audacity ya kuwaambia mabinti wadogo “Ndoa si fanikio la pekee” in fact inaweza isiwe fanikio vilevile, Tuelewane, ndoa si mbaya, ndoa na mtu sahihi ndio kitu kizuri. tuweke mkazo kwenye usahihi wa watu. Msiwe kama CCM kutwa kujadili amani bila kutaja neno haki.

Sisi ndio feminists, Y”all better get used to us. 🥂
What is difference between feminist and a child/baby!??
 
Acha shobo we fala unapenda sana kujifariji kupitia mimi, wewe itakuwa umeanza kunifahamu juzi waulize wanaonifahamu humu, mimi tangu najiunga JF 2019 nimekuwa nikibishana na wanaume wapumbavu kama wewe kwenye hizi mada, tena kwa ID hii hii na misimamo yangu ni hii hii haijawahi badilika na haitakuja badilika, kwa wanaume gani hasa walioko JF, hadi nitoke huko kote nije kutafuta mwanaume humu, wanaume wenyewe ndio hasara kama wewe si bora hata nife nikiwa single
Acha hasira wewe
Uliyataka mwenyewe, tumikia u feminist
 
We blame each other

Tunachoweza sisi Jamiii za watu weusi ni kutoa lawama tu

Mnasahau kuwa mwanamke na mwanaume wote hawa wanaweza kuangukia sehemu ambayo hawawezi kutoka.

Tujifunze utofauti kati ya role model na rule model

Wanawake wanakosa rule model Ila wanapata role model.

Ukikosa MTU wa kukuongoza in this life you will end up being ,depressed and dumber .
Wanawake kukosa rule model wanajitakia wenyewe mkuu.
Wanawake wa kizazi cha sasa cha haki sawa kwa wato hujikuta wanaweza kila kitu kuambiwa hawataki hata kuelekezwa hawataki,yakishawabumia still wanakaza fuvu kujikuta wanaweza kuhimili mwishowe wanaharibikiwa wenyewe.
Wakiacha ubishi,ujuaji mwingi na wakakubali kuambilika itakua salama kwao.
 
Ukiona mtu anatumia sana kauli za kutusi ujue umerusha jiwe gizani.
😂😂😂😂
Msipende kudandia msiyoyajua, kwa matusi anayonitukanaga huyo jamaa kumuita mpumbavu nimempendelea sana ukizingatia hilo wala siyo tusi, mimi huwa naenda na mtu jinsi anavyotaka akileta hoja nami naleta hoja, ila akitaka matusi hata mimi nayaweza, sasa huyo jamaa hajawahi kuleta hoja yoyote kwangu zaidi ya matusi tu
 
Aya madam umeshinda.
 
Back
Top Bottom