Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

sasa jaman kama sio mzuri nawewe nishauri basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jitulize ishi maisha yako jikubali na pia yakubali maisha yako.
Ila itakapotokea kaja mtu muhimu kwako na amekuridhia ulivyo na akayakubali maisha yako basi ishi nae.
Maana upweke kitu kimoja kigumu sana,na mara nyingi upweke unakamata sana watu wazima kuliko vijana.
Ila usijichukulie dhaifu wala mwepesi,jipe thamani ile ile na pia atakayekuja akuthamini thamani unayostahiki.
Usije ukajijengea tabaka.
 
aaaaaah ushauri poa sana huu,, najua hata ambao wapo nyuma ya pazia,wamegoma kujitokeza, hakika watapona๐Ÿ˜Š,,, kunywa pepsi ya moto apo utoe jasho jingi then ulale,,, nkipata hela ntalipa.
 
Na joto hili pepsi yamoto my dear!??
Unajua kuna single maza wengine hawajataka kupitia wanayopitia na kuna wanawake wengine kuwa wapweke hawajataka ila huwenda kuna hali ya maisha walipitia ikawafikisha pale.
Kila mtu ana mtu wake sahihi wa kuwa nae haijalishi kapitia nini na yukoje.
Uliyemshindwa wewe amemshinda mwingine.
 
Ooooh poor them,,afu baba watoto kaingia mitini na nyumbani kwa moto uuuuweeeeh ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚,,unapishana nako njiani ka binti kamepauka pauuuuu
 
Na mabinti wengine unakuta mstaarabu ila kila anapogusa anaishia mikono mibaya watu wanashenyenta futa kina hamdala kiuno wanasepa zao.
 
Para ya mwisho mbona tutakesha hapa kaka. Itโ€™s not worthy!
Hata kwa ufupisho tu.
Haina haja ya maelezo marefu,kitu clear huwa kinaeleweka kwa brief explanation.
Ukiona kitu kinahitaji intensive explanation juwa kuna blunder nyingi ndani yake.

Ila sawa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
acha tu yaani,, lakin hatuachiiii
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ila sasa hivi wanaume wenyewe wanaojielewa ni wachache sana.
Maana vijana wengi wahovyo kina hamdala kiuno wanashenyenta na kusepa na wengine ndio hivyo wameamua kugeuka wanawake(mashoga).
Yani ecosystem imekua haija balance kabisa.
Halafu nina swali la kizushi,hivi kwanini baadhi ya wadada wakisikia unaishi na mke wanaku appreciate na kuwa karibu na wewe sana!??
 
Back
Top Bottom