Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu...
Ndugu yangu, mjukuu wa chifu Mareale, naona this time kichwa chako kimeamka vizuri. Safi
 
Alaf Mbona Babu Tale anakua mfano kwenye mambo mengi ya msingi yahusuyo bunge?😂😂😂 Kama jimboni kwake wapo watu wa design yake mlitakaje?😂😂😂

Anyway This time anaweza toa hoja moja amazing na hamtaamin masikioni mwenu😂😂😂
Babu tale alisema hawezi kufua boxer kwa sababu alizoea kufulia na mke wake. Imagine Huyu ndio anakua Mbunge wako
 
Back
Top Bottom