mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Dah bwashee nawe wabadili gia angani mara hii kabla hata mtakatifu hajakaa kwenye nyumba yake siku 2! Wabongo si wa kuaminika!Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu...