binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kada wa CCM apewe kura za ndioooo... Haha. Kweli kumekucha.Hakika jogoo limeshawika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada wa CCM apewe kura za ndioooo... Haha. Kweli kumekucha.Hakika jogoo limeshawika!
Huyu bwashee ndiyo zake, anabadilika kamaDah bwashee nawe wabadili gia angani mara hii kabla hata mtakatifu hajakaa kwenye nyumba yake siku 2! Wabongo si wa kuaminika!
Dead and buried!Kweli jamaa is dead.
Matusi hapo ufipani ndio kipaji chenuu.Ile misukule ya mwendazake iliyojazana mule????
Leo ndo mmejua haya jamani?Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu...
Yamejaa mazuzu mleTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu...
Vitasia havikubadilishwa kweli?Covid 19 si wapo wasomi wa kutosha
Sie tunasuburi ile Report ya Fedha zilizochotwa BOT kati ya Jan na March 2021
Mpwa wa Hayati atapona kweli?
Umemsahau mmoja ambaye ni muhimu sana, JapipoYupo Msukuma na Kibajaj .... haaaaaa haaaaaa wazee wa mitano tena.Halafu umemsahau Askofu Rashid.
Johnthebaptist ni mzima hasa ila wakati fulani huwa anaamua kujitia wazimu ili kunogesha baraza.Kwenye post zako huwa nikiingia na hasa pale unaponicot hupenda kuniita "Bwashee" ila sikuzote huwa nakupotezea sababu nakuona mnaa kama wengine...
Johnthebaptist hastahili hata kulinganishwa na jingalao, wakudadavua, bia yetu na USSR. John hata akiamua kuandika ujinga, unaona kabisa kaamua kujifanya mjinga. Lakini hao wengine unaona kabisa kuwa ni wajinga na wanafiki.Huyu muda mwingine akili zinakua sawa tofauti na yule Wakudadavuwa na jingalao
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwamba kasema itikadi pembeni bado mnakomalia tu
Gwajiboy na Ripoti ya CAG wapi na wapi, nayeye amezoea kukariri vifungu vyamathayo ili ale kondoo kwa wepesiTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Wakati hata kazi yake ya "kufufua wafu" imemshinda...Unampelekea Gwajima bungeni unategemea nini??
"Mkiniretea wapinzani sireti maji...."Bwashee maendeleo hayana vyama!
mungu mtu wenu sindio alivyokuwa anataka kila ujinga atakaopeleka kule ukubalikeTukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika wakati wa uchambuzi wa maswala ya kitaalamu iwe uchumi, sheria au fedha huwa na udadisi wa kitaaluma siyo kishabiki.
Ripoti ya CAG iliyowasilishwa kwa mh Rais Samia leo inahitaji hoja nyingi za kibobezi/ kidadisi lakini sidhani kama akina Babu Tale na Nusrat Henje wana viwango hivyo.
Itoshe tu kusema wabunge wengi wa sasa wana uwezo mdogo na ujasiri hafifu wa kujenga hoja.
Ukweli mchungu, kibajaji atakwambia anaweza kwani anauzoefu wa kumsikiliza zito kwa miaka kadhaa, vipi wale kovid 19 nao hawawezi?Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.

Yaani Prof Assad hadi kesho inaniuma jamaa alikuwa jembe na hapepesi macho, alivyotolewa nikaanza kupata mashaka na uzalendo marehemuHalafu CAG baada ya hayo akiwaita dhaifu watakimbilia kumuita kamati ya maadili na biti kali toka kwa spika kuwa asipofika atafuatwa kwa pingu.