Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hivi hata nani alieruhusu kuwepo na shule eneo ambalo ni business centre.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jijiHivi hata nani alieruhusu kuwepo na shule eneo ambalo ni business centre.
Sasa sijajua kwa mtazamo wako akili za ki ccm unazo zisema ni nzuri au ni mbayaUna akili za kiCCM
Hapana mkuuKwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
Hauwezi ukayabeza magari ndio uchumi wenyeweWenye magari wanajipa sana umuhimu.
Hata barabara walitaka wao tu ndio wanatumia , hawataki hata mtu au mnyama avuke kwa mguu barabara
Tutazidi kusogea mpaka tuifikie nyumba yako iliyopo chanika 😃Kwahiyo hilo eneo nalo likizidiwa, mtavunja nini?
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kwani ni lazima uende Kariakoo na gari yako?Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kuna maeneo mengi mnooo yapo wazi mengi mengi sana yaapo wazi na yanamilikiwa na Serikali kwanini umepalenga hapo?Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking
Nikinunua mizigo mingi bila kwenda na usafiri si nitapata tabu kwenye kuibeabaKwani ni lazima uende Kariakoo na gari yako?
Kuna huduma ya delivery.Nikinunua mizigo mingi bila kwenda na usafiri si nitapata tabu kwenye kuibeaba
Walichemka hawakuona mbali ile shule pale kwa sasa haifai kuwepoNi uzembe tu wa viongozi wetu kutokuona mambo kwa ukubwa wake.
Benjamin Mkapa sekondari imejengwa na kuanza kutumika mwisho wa 90s(98/99)
Muda huo tayari Kariakoo na maeneo jirani yalishaonesha dalili za kujaa watu kwa Kasi ya 6G.
Nchi imejaa mauzauza mengi sana.
Hapana sio kila bidhaa ni delivery kuna zengine unatakiwa uende ujiridhishe ubora kabla ya kutoa pesaKuna huduma ya delivery.