King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hao jamaa huwa wanachokoza mada kisha wanasikilizia mtatoa maoni gani.Kwakweli hii haikuwa coincidence.
Mtoa mada alikuwa anaeleza mipango waliyokuwa nayo.
Then wanaangalia reaction ,wakiona kubwa wanarudisha mipango yao kabatini wakiona watu wamesapoti wanapita na moto wa volkano.